Nimehuzunika sana, siamini kama leo hii na shahada yangu nimekuwa mtu wa kuandalia watu chai mezani

Kuna nyakati zaja ambazo dunia itakuwa na wasomi kuliko kawaida na ajira zisiwepo.
Tatizo letu bado tunalimbuka na usomi, ndiyo kwanza tunaanza kuwa na watu wengi wenye videgree degree vya kwanza hivi.

Hawa wanalimbuka.

Nyerere alionya sana kuhusu hili tangu mwanzo kabisa.

Ukienda nchi kama Nigeria na Ghana ambako watu wameanza kupata degrees en masse kuanzia miaka ya hamsini huko, mtu mwenye degree kufanya kazi ya kutenga chai si jambo la ajabu.

Wenye degree wengi, kazi za wenye degree chache, ni kawaida tu watu kuchukua nafasi zilizopo kama zile wanazotaka hazipo.
 
Unapiga mishe gani mkuu iyoo na sisi tuchangamkie fursa
kwanza unatakiwa ushukuru Mkuu hapo una uhakika wa kupiga chai msosi wa mchana ukashiba, ukishashiba sasa ndio akili inatakiwa ifanye kazi, tafuta connections mpya hapo hapo hivi unaonekana una cheo kidogo watu wanakuwa wanakuchukulia huna madhara hivyo hiyo ndio njia ya kutoboa, fanya yako chinichini ukija ibuka uko juu yao, hapo tumia elimu ya kitaa maana ya shuleni ishafika mwisho jiongeze, wengine tumeamka hapa hatujui tunaelekea wapi saa hizi na tuna mavyeti kama yako lakini amini mkuu mm sijatoka home mpaka Muda huu hakini niko nyuma ya keyboard nishaingiza 70tsh ndani ya dakika 40...siendi kumtumikia kafiri yoyote, naenda zangu shamba kupanda kunde, je ningeajiriwa na mvua hii sa hizi ingekuwaje? Stress tupu, jiongeze mkuu tafuta fursa piga hela, nguv kidogo akili nyingi. usiibe tu au kutapeli, tafta laptop yenye uwezo kuwa nayo hapo Camp alaf akili ingine itakuja
 
Guys, tusipende kuwa tunatoa majibu ya wima as if unamjua mtu maisha yake, mtu amekwambia ndio kwanza alikuwa amemaliza masomo yake, sasa unasema ajiajiri, unajua kuanzisha shughuli binafsi kunahitaji pesa ya mtaji, na kama angekuwa nayo unadhani angeenda kufanya hizo kazi ?
Majitu yanayosema jiajir huwa nayashangaa sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majitu yanayosema jiajir huwa nayashangaa sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wote wanaojifanyaga kuwahimiza watu wajiajiri wao wankuwa wameajiriwa, jana pale ITV nilimuona mama mmoja Mkurugenzi wa Veta anasisitiza Vijana wajiajiri, eti anasema (wao) wanataka kuiondoa hayo mawazo vichwani mwa wananchi (hasa vijana) ya kuwaza kuajiriwa, mimi nikasema, kwanini asianze kuonesha mfano yeye, aache hiyo kazi aende akajiajiri, tena umri wake umeenda kabisa, Mzee Mkuchika kwa mfano, ameanza kazi lini ?, yeye macho yake hayajaziona hizo fursa za kujiajiri ?, Zungu, ndio kwanza anapangiwa piition mpya jana
 
Kweli wakuu elimu bila pesa ni useless tu,

Leo hii mimi naandalia watoto wadogo wa certifacete nawaandalia chai mezani mimi? Yaani nkuchu nkunchu eti nawaletea vikombe kabisa eti karibuni chai tayari!

Mimi huyu naandaalia watu chakula mezani mimi huyu?

Nilimaliza shahada ya ualimu nikaingia JKT nako mambo yalienda kinyume. Tuliporudishwa home nikaomba kazi kampuni ya ulinzi Malipo yao upuuzi tu kazi ngumu nikapiga chini.

Sasa hivi nimepata shirika linadili na mambo ya afya kwenye refugees camp. Yaani position niliyowekwa ni kituko

Yaani mimi nawaandalia watu chai mimi? Kabisa nawaletea mezani wanywe wakishiba nikatoe vyombo!

Watu wenyewe madogo tu wa Certificate za Nursing, Pharmacy kweli kabisa jamani ndugu zangu

Dah basi bwana ngoja nikomae

Namchukia sana Rais Magufuli niseme waziwazi tu!

Any way ngoja nipumzikepo kidogo hapa nasubiri waivishe cha mchana nikawaandalie wadogo zangu chakula mezani waje wale.
Pole sana Mkuu,hayo ni mapito tu.

Dadangu simbachawene yeye aliajiriwa Kama mpigadebe stand anakimbizana na vibegi vya abiria leo waziri wa mambo ya ndani
 
Wewe jinga sana. Kwa elimu yako ilivyo, hapo ndipo panakustahili - kuwaletea chai watu wanaokupa mkate wako - unaowategemea kwa ujira. Ungeajiriwa na serikali ya Magufuli bado ungetumwa na boss wako kumletea kahawa kwenye kikao. Kama unadhani ulisoma ili uajiriwe, basi hayo ndio matunda ya pale utakapokuwa. Kutumikia unaowategemea. Mimi sikusoma niajiriwe, ila niajiri.

Kweli wakuu elimu bila pesa ni useless tu,

Leo hii mimi naandalia watoto wadogo wa certifacete nawaandalia chai mezani mimi? Yaani nkuchu nkunchu eti nawaletea vikombe kabisa eti karibuni chai tayari!

Mimi huyu naandaalia watu chakula mezani mimi huyu?

Nilimaliza shahada ya ualimu nikaingia JKT nako mambo yalienda kinyume. Tuliporudishwa home nikaomba kazi kampuni ya ulinzi Malipo yao upuuzi tu kazi ngumu nikapiga chini.

Sasa hivi nimepata shirika linadili na mambo ya afya kwenye refugees camp. Yaani position niliyowekwa ni kituko

Yaani mimi nawaandalia watu chai mimi? Kabisa nawaletea mezani wanywe wakishiba nikatoe vyombo!

Watu wenyewe madogo tu wa Certificate za Nursing, Pharmacy kweli kabisa jamani ndugu zangu

Dah basi bwana ngoja nikomae

Namchukia sana Rais Magufuli niseme waziwazi tu!

Any way ngoja nipumzikepo kidogo hapa nasubiri waivishe cha mchana nikawaandalie wadogo zangu chakula mezani waje wale.
 
Pole mkuu Mungu ni mwema kwako fanya bila kuchoka utalipwa usipoumia moyo.
 
We jamaa inaonekana unapenda sana kulalamika,Inaonekana huwezi kupambana na maisha mwenywe bila kutupia wengine lawama.Ulikuja na uzi wakulalamikia kampuni ya ulinzi kulipa kidogo sasa hivi tena umeibukia kwenye chai.Yaani uwe na degree na cheti cha JKT bado ushindwe kupata nafuu ya maisha.ndugu utakua na tatizo sio bure.
 
Back
Top Bottom