Hivi kweli Harmonize ndio wa kutafuta views milioni 1 kwa siku 5?

nasikia kondoo boy anawindwa sana na chui ili atafunwe huko porini, mwambie achukue tahadhari chui yupo mawindoni
 
Viewers sio kazi ndogo kuwapata,kufikisha 1M tu jasho likutoke

kuna nyimbo zina tikisa mitaani kila kona ila ukija youtube viewers

hata 500k hawafiki,ishu ya viewers ni darasa kama la Forex yahitaji

mwalimu aliye master game ambae kwasasa huyo teacher kaajiriwa WCB
Yes ni kweli mkuu, mfano kafia gheto ya Hussein machozi , ngoma Kali views chache
 
Duh 14 hrs konde anapigwa hadi na mke wa boss
wcb_wasafi-20200220-0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cheki wcb wanamtumia rayvanny kuprove harmonize hakuwa sawa. Kwenye subscribers harmonize alikua anampiga range ndefu tu rayvanny lkn sshv naona wanazidiana points tu. Harmonize ana subs 1.47 M lkn rayvanny ana 1.36 M. Soon jamaa anaangushwa na hilo jeshi lake huwe
keshampita now. 2.06 vs 2.09 in favor of vannboy
 
Back
Top Bottom