Recent content by Umsumbalembe

  1. U

    JamiiForums Tanzania Rafiki yako anaweza kukutetea hata kama anajua wewe ndiye mkosaji?

    Huyo siyo rafiki bali ni adui yako!! Rafiki wakweli daima huwa mkweli!!
  2. U

    JamiiForums Tanzania Zile hela tulizokuwa tunaokota njia panda sikuhizi hazipo

    AI imeharibu kila kitu! Watu wanatambika mitandaoni,siyo njia panda tena.!! Bando tu imetoka,makampuni ya simu yanaondoka na pesa za matambiko.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Umeshika 500M utaifanyia nini.??

    Si yangu! Namrudishia niliyemshikia.Cha mtu mavi usitumie rudisha mkuu!! Au muulize uliyemshikia atoe maelekezo.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Pishi la nyoka: mishkaki ya cobra

    Ngoja niendelee kula mbwa huku Itipingi Kalenga,hutu tupanya siwezi kushiba haraka.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kijana wangu hataki kuonywa akikosea, ananuna haongei na mtu hata siku 3

    Pole sana! Huyo bado anaonyeka mkuu, kwa malezi haya unayompa, jiandae siku utatatafuta Wakili wa kumtetea asinyongwe au kufungwa!!
  6. U

    JamiiForums Tanzania Sijui nataka kusema nini Wamama wa Arusha na Moshi walionilea waume zao washafariki, wamebaki wao kama wenye Wenye Nyumba

    Tembelea Mtaa wa Ghana Mbeya halafu ulete feedback!
  7. U

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kwenye biashara, mauzo milioni 800

    Mshimboka wa Kimboka?
  8. U

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini tuliambiwa wanawake tuishi nao kwa AKILI...?

    Shida ni kipimapenzi hakipo! Wewe ni nani zaidi ya Adam na Samson? Chezea Hawa na Delila wewe?
  9. U

    JamiiForums Tanzania Mkwawa hakujiua. Ni alipotea tu

    Amlipae mpiga Zumari ndiye huchagua wimbo na historia daima huandikwa na mshindi.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Hii case ya huyu jamaa yangu inasolviwa vipi wakuu?

    Hspo simpo! Maji yamelowa
  11. U

    JamiiForums Tanzania Wazazi njooni mchukue watoto wenu!

    Vumbi limechafuka kwa vumbi
  12. U

    JamiiForums Tanzania CRDB Mungu anawaona. Mnatunusisha mahela halafu mnayatoa

    Hapana mkuu,wanaboresha mifumo yao.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Naomba code ya ushindi kwanini siku hizi wanawake wanatoa sana namba za simu ila kukamilisha project wanazingua?

    Ukitaka kula sharti uliwe! Tunguri ni za waganga,uchawi pesa!!
  14. U

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu inayosababisha wasichana wengi wasiolewa

    Wengi wao wanakimbilia kuzaa wakitegemea Sogea tuishi, wakati wasogezaji wanategemea Mashangazi, nao mashangazi huwageuza hawa Ben Ten kama maofisa usafirishaji na kujidanganya mali za Mishangazi ni zao!
Back
Top Bottom