🤣🤣Haya yote kayataka mc eliud
Kama ni mpenzi wa maua kule Uholanzi wanakuwa na mshamba Yao ya maua ya Tulip, hizi jezi sasa ni kama yale mashambaKwa shati ni sawa, ila bukta, mmmh hapanaa.
Chini ya 10 ungewapa alama ngapi akina mwaisa
Jamani hizi siyo nepi kweli!Wao wenyewe wanajua kabsaa wamezingua. Hizo pozi za wachezaji zinaonesha wasiwasi mkubwa na hawaelewi wamevaa nini, hawajiamini. Sasa sijui kama hata hiyo ligi watacheza vizuri. Confidence ya binadamu yoyote anapo appear kwenye kadamnasi inajengwa kuanzia kwenye mavazi. Anyways sioni jezi hapo zaidi ya vipepeo na maua yao.
Wanyaki katika moja na mbili 😂😂😂😂Kabla ya kufungua hii thread nilijua tu nitakachokutana nacho kuhusu marangi rangi na watu wa Mbeya!
Hiyo siyo jezi ni kijora; kariakoo vinauzwa Tsh 5000 kwa fungu.Chini ya 10 ungewapa alama ngapi akina mwaisa kwenye jezi zao?View attachment 3442151
Bush stars fcJezi kama zile za kina Mapung'o na Chepe 🤣🤣
1/10.Chini ya 10 ungewapa alama ngapi akina mwaisa kwenye jezi zao?View attachment 3442151
Chini ya 10 ungewapa alama ngapi akina mwaisa kwenye jezi zao?View attachment 3442151
Hivi jina la Taifa stars idea itakuwa imetoka hapa aisee🤣🤣Bush stars fc
Wasaka mamba🤣🤣🤣Kama kikosi cha wawinda mamba...
Wala hakuna uhusianoHivi jina la Taifa stars idea itakuwa imetoka hapa aisee🤣🤣
3/10Chini ya 10 ungewapa alama ngapi akina mwaisa kwenye jezi zao?View attachment 3442151
Daah🤣Nikajua Bazee a.k.a Batiki zilizovaliwa miaka Ile n kina Mama Teri na Mama Lwakatare😂😂