Recent content by umkhonto

  1. umkhonto

    Kuikomboa CCM: Watanzania huu ni wakati wa maamuzi magumu!

    @William,kama akipitishwa kugombea kwanini usipigie kura chama kingine au mtu mwingine, kwa kuanzia, pigania uchaguzi huru ,na haki ya watu kuchaguliwa kama vile mgombea binafsi, halafu akiwanunua CCM wakamteua agombee, wewe pigia kura yako Chadema, ili ashindwe uchaguzi kama atanunua na mfumo...
  2. umkhonto

    Propaganda za uongo: Elimu bure, CHADEMA ikishinda

    Mtoa mada una agenda yako thats for sure,i will ignore your agenda tuendeleze mjadala sababu ni mzuri,kuna mtu hapo mwanzo ali comment kwamba mgawanyo wa rasilimali haufuati mahali zilipokusanywa. Hilo ni jibu tosha kabisa kurudisha hoja yako nyumbani,lakini kama una nia ya dhati ya kuelewa,ama...
  3. umkhonto

    Wamethubutu na wameweza

    activities za museveni na hiyo move zinaashiria effort za ku stabilize south sudan,na kuipa altenative route ya bandari,for oli and other supplies, nadhani Museveni amejitwika mzigo wote,hivyo the south sudan relief effort dhidi ya north sudan,zinakuwa coodinated na museveni
  4. umkhonto

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    kwa kuanzia na mwenzio naye apime
  5. umkhonto

    Tuzo ya DOWANS kwa TANESCO ni utapeli kama Richmond ilivyokuwa; Hakukuwa na hukumu ICC!

    du sasa ndio najua kwanini haitakiwi tuelemike sisi watanzania,haya mambo yatakuwa magumu kufanyika...mie nilidhani kiwango cha elimu kushuka ni uzembe wa serikali ya CCM,kumbe ni mkakati wa utawala mrahisi...
  6. umkhonto

    Zanzibar/Tanganyika waliunganishwa vipi na nani kuwa nchi moja kabla ya Muungano?

    Ningependa tutofautishe kati ya nchi,taifa na dola ili tujadili vizuri Tanganyika.league of nations baada ya wajerumani kuangukia pua WW1 waliwapa dhamana ya kutawala eneo(nchi)lilikuwa koloni la wajerumani likijulikana kama german east africa,likijumuisha Tanzania bara kama tunaivyotambua...
  7. umkhonto

    Did Karume really tell Nyerere: “There shall be one country and you are the President”?

    @barubaru...nikitizama ushahidi wako kwamba karume hakutamka hayo maneno naona unarudia tu kwamba..hayakusemwa enzi za uhai wake, nawe pamoja na watu wengi wengine ambao siku hizi Nyerer ndio punching bag yao ya kuishambulia..mbona hatukuwasikia enzi za uhai wake? kwa hivyo nanyi waongo kusubiri...
  8. umkhonto

    Nchi yetu inaitwa Tanganyika

    @Madama junior,na kwa sasa hivi kuna ubabaishwaji na rushwa na hamna ushirikishwaji katika maamuzi,na watu ni wale wale,tuna kazi kubwa zaidi ya kubadili jina la eneo,watu au dola..ili tubadili mwenendo huu...pamoja mie napenda tuwaache Zanzibar wawe na maamuzi kama wanataka kuendelea na...
  9. umkhonto

    Nchi yetu inaitwa Tanganyika

    Nchi-Country..eneo la ardhi ya Tanganyika bado haija badilika na tunayo na ndio tunaioishi,ila hili eneo linaitwa jina lingine tu sasa hivi..kwa nahisi hili sio tatizo. State-Dola ya Tanganyika,utawala na mfumo wake mzima uliosimamia ardhi ya eneo la tanganyika,imekuwapo kwa jina hilo tangu...
  10. umkhonto

    Bank M Kukusanya Kodi kwa niaba ya TRA - Wao wanapata nini?

    TRA inataka mambo ya ku handle cash yawe yanapitia benki,huu ni mwendelezo wa mipango ambayo imeanza muda kidogo...kwa mfano pale long room wanaopokea hela ni Citibank..na ukienda kulipia ile Road licence utaambiwa ukalipie kwenye branch ya benki pia..TRA walikuwa na mazungumzo na mabenki karibu...
  11. umkhonto

    Tarime kuna tatizo na tatizo si CHADEMA, ni Barrick

    i think its a PR attempt to deal with the recent killings...pointing at sexual allegations..but when they conclude investigation they will include the shootings and come up with measures to improve relations with local community..
  12. umkhonto

    GE2010 Je Zanzibar sio nchi ? Unaijua history yake au Wabwabwaja tu ?

    we don't need to be convinced that Zanzibar before independence was a sovereign country..otherwise how would Tanganyika have a union with a non-entity?the rich history,some good some not very good is known to all of us..there are many examples of empires once great that have since become part of...
  13. umkhonto

    No control over Religious radio stations over hate speeches

    @Shosi,what about a religion called Sanātana Dharma?does it follow the same pattern you described?
  14. umkhonto

    Hivi kwa nini Ghana inatajwa kuwa nchi ya kwanza kupata uhuru Afrika?

    mtazamo wa kikoloni huwa unapenda sana kututenga nao...lazima wanatumia maneno kama africa kusini mwa jangwa la sahara....na mengineyo ili kuweka tofauti...ukiweka nchi za kiarabu zilizo africa,Ghana sio ya kwanza.lakini hata watu wa nchi hizo wanatuona sisi ndio wa africa na wao...
  15. umkhonto

    Tume ya Chifu Mang'enya: Kwanini Ripoti yake Haijulikani?

    @MM,tafadhali tujuze..ni vema tukajifunza historia...kama hujui ulipotoka..waweza kuwa unazunguka hapo hapo...
Back
Top Bottom