umkhonto
Member
- Jan 29, 2011
- 17
- 7
Nchi-Country..eneo la ardhi ya Tanganyika bado haija badilika na tunayo na ndio tunaioishi,ila hili eneo linaitwa jina lingine tu sasa hivi..kwa nahisi hili sio tatizo.
State-Dola ya Tanganyika,utawala na mfumo wake mzima uliosimamia ardhi ya eneo la tanganyika,imekuwapo kwa jina hilo tangu utawala wa Uingereza kama mdhamini wetu,mpaka madaraka ya ndani,1960,uhuru 1961,jamhuri 1962 ikafikia tamati mwaka 1964 baada ya kungana na serikali ya dola ya zanzibar na kuwa jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar.
Nation-taifa latanzania,yaani watu wake zaidi,wamewekwa pamoja mara ya kwanza chini ya mipaka ya nchi moja,na iliyo chini ya dola moja wakati wa ukoloni wa ujerumani kwenye eneo lilijulikana kama german east africa,ilijumusiha mataifa mengi tofauti zenye mipaka yake na mifumo ya utawala tofauti..kwenye hili bado tuna safari ya kutengeneza taifa Tannganyika,Nyerere alijaribu na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa,lakini wapishi wapya naona wamebadili viungo...
tatizo letu hapa haswa ni jina la eneo,jina la dola inayotawala eneo,au watu wenyewe kwenye hilo eneo?tanganyika gani tunayitaka?