Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,143
- 79,278
Hiyo Bank ipo Dar tu yaani kimatawi itakusanyaje kodi kwa nchi nzima?
mkuu, issue ni je, huyu Bank Patel and Nkono ana branch ngapi na wapi? naona amepewa deal ya kukusanya kodi kubwa kadhaa!!Nijuavyo mimi TRA imeteua mabenki kadhaa huko nyuma kukusanya mapato kwa ajili. Haya mabenki yanafanya kazi kama wakala (agents).
Standard Chart, Stanbic, CRDB, NMB na nyingine kadhaa kutegemeana na kodi husika. Vinginevyo Mwanakijiji awe na taarifa za ziada kuhusu Bank M ila kama ni mkataba ulio sawa na mabenki niliyoyataja basi watalipwa COMMISSION.
Kukusanya kodi kuna gharama na TRA huangalia iwapo kuweka wakala ni convenient kwa mlipa kodi na gharama ndogo basi inafanyika hivyo.
Hii hoja haitakiwi jukwaa hili maana ni ya kibiashara na swali la Mwanakijiji ni la KIBIASHARA zaidi!
TRA inataka mambo ya ku handle cash yawe yanapitia benki,huu ni mwendelezo wa mipango ambayo imeanza muda kidogo...kwa mfano pale long room wanaopokea hela ni Citibank..na ukienda kulipia ile Road licence utaambiwa ukalipie kwenye branch ya benki pia..TRA walikuwa na mazungumzo na mabenki karibu yote kuhusu hili swala..utekelezaji benki zinapishana..na wengine wameanzisha hizi huduma kimya kimya bila launch..lakini mwishoni benki zote zenye uwezo zita participate..
Bongo bana...How is it that an MP is also a director of a Bank? Isn't there confilict of interest?
If you ask me that shouldn't be the case. What if a bill comes into debate, for example..restricting how banks charge fees. I dont think it matters whether the MP is in a specific commitee regulating banks or not. Because ultimately the bill will come to the entire house for vote. it is clear from the get go where Nkono's vote will go.
Katiba yetu siyo tu haifai, ni ya kuchanwa na kutupwa.
Hakuna ubaya wowote katika hili.
1. Kwanza ni kweli kwamba mabank mengine yana misururu milefu sana
na hayajadedicate nguvu zozote katika kuhakikisha kwamba walipa kodi
wanapata huduma ya haraka na kurudi kuendelea na shughuli zao
2.hapa hakuna swala la ubroker wala uajent bali waandishi ndio watakuwa
wapotoshaji by eny means, ambacho kitakuwa kimefanyika ni kwamba bank m
wameishawishi tra na imekubali kufungua account za kukusanyia mapato
kwenye bank hiyo.
3. Kwa nini bank m watangaze kwa nguvu sana mahusiano haya ya kawaida kabisa
na tra, ni sababu wanajua kwamba tra is the biggest organization in the country
in terms of collecting deposits (from tax payers) na kwamba ina account na mabank
mengine mengi tu, tra ina accounts nbc, nmb, crdb etc
wanachokifanya bank m ni kuutaarifu uma kwamba hata kwao tra wana collection
accounts
wanafaidika vipi, what a question? Tra hawazichuki hizo pesa instantly, hii itawasaidia
bank m kuimprove liquidity status yao, for either lending au for meeting regulatory
requirements, which every bank does.
Zaidi ni kwamba bank m wanaweza kuwashawishi tra kuziacha hizo pesa kwao kwa
muda fulani at a certain interest rate, which every bank does na hapa tra wata
kuwa wamefaidika pia.
Maswali ya kujiuliza ni kwamba, je kuna makubaliano ya tra kuziacha hizo pesa apo
kwa muda fulani, huu utakuwa ni ukiukaji wa taratibu sababu tra hawana majukumu
ya kufanya investment, zaidi ya yote pesa hizo zinatakiwa kupelekwa hazina kama
hazitakuwa zikipelekwa kwa haraka pia, huo ni ukiukaji wa taratibu, you may call
it ufisadi too
labda tu nitoe angalizo kwamba, bank m ni moja ya bank zenye matatizo ya kifedha
nchini, kwa nini tra wanakubali kudeposit pesa zao kwenye bank yenye liquidity
issues, yanahitajika majibu
mwanakijiji, sioni ufisadi wowote katika hili swala, labda kama unamaelezo ya ziada
kunifumbua macho
mkuu, issue ni je, huyu Bank Patel and Nkono ana branch ngapi na wapi? naona amepewa deal ya kukusanya kodi kubwa kadhaa!!
Hata wangekuwa na tawi moja bado hakuna shida kwa sababu tax collection haiko exclusive kwa Bank M pekee. Tuacheni siasa kwenye mambo yaliyo straight. Majembe anapopewa kukusanya madeni ya TRA kwa wadaiwa sugu huwa ana tawi Karagwe na anafaidikaje???
Ndio maana nasema kama kuna mtu ana taarifa za ziada ku-fault Bank M kuwa agent wa TRA aseme tujue.
Taifa_Kwanza ameelezea hapo juu jinsi Bank M au benki yoyote inawezaje kufaidika na arrangement ya namna hii.
Mimi napata shida kwa swali la Mwanakijiji kwanini ameuliza Bank M wanapata nini na asiulize Mabenki yanapata nini maana utaratibu huu haukuanza leo na Mwanakijiji anajua hilo toka zamani.
Tatizo kwamba Mkono au Mkapa au Patel wako nyuma ya Bank M halifanani na swali la Mwanakijiji. Isipokuwa pale influence yao imetumika visivyo kuipatia Bank M deal hii.
FYI, Bank M wanafungua (kama hawajafungua) tawi hivi karibuni Mwanza - Njia ya kwenda Tilapia Hotel
swali langu bado halijapatiwa jibu... why?
wow... tatizo langu ni benki kuingia makubaliano ambayo hayajawekwa wazi wa kwanini mabenki yanatumika kwa mtindo huo kukusanya kodi. Bado sijaelewa tatizo la TRA kukusanya kodi liko wapi hasa hadi kulazimika kufanya makubaliano ya aina hii. Bado sijaeleweshwa. Kwenye nchi ambayo ufisadi ni utamaduni kila kitu kinachofanywa na serikali au taasisi zake wananchi wanatakiwa kuhoji na wapatiwe majibu ya kuridhisha.
Sheria ya kodi ya mapato iko dhahiri......mabenki yote ni wakala wa TRA kaktika kukusanya kodi....hii ni special bank product na ndio maana imezinduliwa...hapa TRA inatumika na Bank M.....kama kweli inachukua dakika 5 hebu imagine toka tarehe 1 mpaka tarehe 30 watakapo remit kwa TRA Bank M itakuwa imekalia pesa ngapi za umma interest free?
Mkuu hebu nipe shule kuhusu dakika tano,yaani hela zitakuwa kwenye account dakika tano?...kwani kawaida inachukua dakika ngapi?Kwani wewe Mwanakijiji unachotaka kifanyike ni nini?
TRA wakusanye hizo pesa wao wenye? so what? wakusanye then wazipeleke bank?
why shouldn't they let us take the funds to the bankers straight away?
ndio kinachofanyika, we unataka majibu gani?
Bank M Tanzania Limited has been appointed by Tanzania Revenue Authority (TRA) to collect taxes on its behalf. Through a service branded Money. Mapato, the bank has promised to remit the tax to TRA and issue payment receipts to the customers in five minutes.
The product would enable taxpayers to pay all domestic taxes and customs and excise revenues without any delays and without having to wait in long queues at banks. Bank M Board Chairman Mr Nimrod Mkono said the product was designed specifically for processing of TRA tax payments within five minutes and to remove worries of penalties from the minds of taxpayers.
"We bring to you Money. mapato, with the assurance that payment of taxes will be quicker than a coffee break, backed by our guarantee to process your transaction within 5 minutes," said Mr Mkono.