SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,758
Hii ni laana kubwa sana, yaani dhahabu yetu wachukuwe kwa mikataba ya kifisadi, wawabake dada zetu na binti zetu, wawauwe kwa risasi wazawa wa ardhi wanayochimbia dhahabu hiyo, watuachie sumu kwenye ardhi yetu na vyanzo vya maji kiasi kwamba watu,mifugo na mimea imekufa.
Bado wazalendo wenye uchungu na nchi wakifuatilia wana bambikiziwa kesi za uchochezi na majamabazi(polisi) wa CCM.
Machozi ya wana Nyamongo na watanzania wote wenye kuipenda nchi yetu hayatapotea bure. Ni lazima utawala huu dhalimu wa CCM utalipa haya yote.MWISHO WA UBAYA NI AIBU.