Mkuu Fidel, wazungu ni watu / binadamu kama wewe na mimi, na niwabaguzi saana tena wabaguzi namma moja kwa kila kitu, kuanzia, rangi, dini, hadi ukabila/utaifa.
Kama wataka kujua kama wana udini au la Jiulize Vita ya Ireland Kaskazini kiini chake nini???, pia chunguza Marwa Ali Al Sherbini...