Buzwagi, Leo Katika Taifa la Tanzania kuna mambo mengi yaliyokuwa yanafanya kinyume cha Sheria na hata ukiukaji mkubwa sana wa haki za Binadamu, Tazama Mgodi wa North Mara na jinsi watoto, Wakimama Wanavyoteseka?? Utashangaa sana kusikia kuwa CCM kuwa Hawajui, Watu tuliwapa Dhamana ya uongozi wetu na kufanya watu kuwa wakimbizi.
Bunge la Tanzania Leo Nimebadika kwa kiasi fulani kutokana na wabunge Kadhaa wa Upinzania na Hasa CHADEMA, Wakiongozwa na Rashid Mohamedi wa CUF.
.
Acha udini na ubishi unaonekana kabisa una agenda yako ya siri hapa, ukweli ni KWamba ni chama mbadala kwa CCMHAKUNA KITU CHADEMA, chama cha kanisa hicho!!!!!!!!!!!!.
We uliye tu!HAKUNA KITU CHADEMA, chama cha kanisa hicho!!!!!!!!!!!!.
Naungana mkono na wewe kuwa huyu jamaa ana hisia za udiniWe uliye tu!
Wanajua wanaficha mambo mengihawa CCM sio kama huwa hawajui wala hawasikii ni kwamba hawapendi kutake action mpaka wapigiwe kelele ,na ni kwa vile watu wao ndio huwa wanafanya maovu inakuwa ngumu kuwaumbua..
mpaka pale watu wengine waone na wapige kelele ndo wanajifanya na wao wameona kumbe danganya toto..
HAKUNA KITU CHADEMA, chama cha kanisa hicho!!!!!!!!!!!!.
Hakuna haja ya kuunganisha vyama, Watu wachague chama makini. na pia kuna haja ya kuona kuwa ni nani anafaa kutuongoza Watanzania?? CHADEMA wanaweza pia,Mkuu Ulamaa naomba kutokubaliana na hoja ya udini CHADEMA.CHADEMA wapo viongozi wa kiislamu kibao kama wakina Zitto Kabwe na Bob Makani.
Nijuavyo mimi CHADEMA si chama cha siasa bali ni NGO ya kina Ndesamburo,Mtei na Mbowe.Mkuu Ulamaa unafanya kosa kubwa sana kusema CHADEMA ni chama cha siasa.Mkuu Ulamaa hii ni NGO kwa asilimia zote bana usitake ni nicheke bure.
Kwakuwa CHADEMA si chama cha siasa kama baadhi ya wanajamvi wanavyotaka kutuaminisha si rahisi kuwa chama mbadala kwa CCM mpaka kitakapoamua kuwa chama cha siasa siku za usoni kitu ambacho hakijafanyika na hakitafanyika chini ya uongozi wa mtuhuru na yule dogo mtetea dili la Dowans.
Chama mbadala kwa CCM bado sana ingawa najua wanajamvi wengi hawapendi kuambiwa ukweli.CCM itaendelea kutuongoza kwa kipindi kirefu sana kwasababu wapinzani hawataki kuunganisha nguvu pamoja.CHADEMA baada ya kuvurumisha Chopper wanadhani sasa ni wakati wao wanaweza kushinda nasema watakuja hapa jamvini maana najua wapo kibao na sababu za kijinga mwaka 2010.
Kenya inaweza kuwa mfano mzuri au somo zuri kwa wapinzani wa hapa kwetu Tanzania bila kuungana sahau kushika dola.Tume ya uchaguzi nayo ni sababu nyingine kubwa itakayochangia CCM kuendelea kutawala.Wapinzani wanatakiwa kuungana kwa pamoja kuishinikiza serekali kuunda tume huru ya uchaguzi.
Hakuna haja ya kuunganisha vyama, Watu wachague chama makini. na pia kuna haja ya kuona kuwa ni nani anafaa kutuongoza Watanzania?? CHADEMA wanaweza pia,
Shida moja kubwa kuna vyama ambavyo ni Mamluki toka CCM na hivyo kama kila chama kina agenda yake muhimu sana katika Taifa vitakuwa imara daima, Ila kuna Wasanii pia kwenye Upinzania hivyo umefika wakati wa vyama hivi Kufa vifo ambavyo ni NATURAL DEARTH, NAPENDA vyama ambavyo ni Mamluki toka huko kwenye Ufisadi vife kabisa na tubaki na hata na vyama 2 tu lakini Imara na wana nia ya dhati, CCM wanatumia vyama hivi kuua demokrasia ya kweli Tanzaniachadema kinaenda vyema isipokuwa kuna kaelement ka ukabila hilo ndiyo tatizo kubwa sana.
ni kwasababu vyama vingi vyama upinzani vipo kwa maslahi yatu wachache at least CHADEMA ndiyo kinaonekana kidogo.
Ni kazi sana kuiangusha CCM
Mkuu Ulamaa naomba kutokubaliana na hoja ya udini CHADEMA.CHADEMA wapo viongozi wa kiislamu kibao kama wakina Zitto Kabwe na Bob Makani.
Nijuavyo mimi CHADEMA si chama cha siasa bali ni NGO ya kina Ndesamburo,Mtei na Mbowe.Mkuu Ulamaa unafanya kosa kubwa sana kusema CHADEMA ni chama cha siasa.Mkuu Ulamaa hii ni NGO kwa asilimia zote bana usitake ni nicheke bure.
Kwakuwa CHADEMA si chama cha siasa kama baadhi ya wanajamvi wanavyotaka kutuaminisha si rahisi kuwa chama mbadala kwa CCM mpaka kitakapoamua kuwa chama cha siasa siku za usoni kitu ambacho hakijafanyika na hakitafanyika chini ya uongozi wa mtuhuru na yule dogo mtetea dili la Dowans.
Kitu chochote kile ambacho kinakua kina maudhui yake na pia Demokrasia sio uchaguzi bali hata mazungumzo na kukubaliana wote wawili, Demokrasia ya Kweli inaanzia kwenye mazungumzo , Sasa ndio walivyofanya CHADEMA, katika uchaguzi hivyo ni vyema walifanya imesaidia sana katika kujenga CHADEMACHADEMA kinaweza kuwa mbadala wa CCM lakini safari bado ngumu. mana kadiri siku zinavyozidi kwenda ndivyo CHADEMA inathibitisha kufanana na CCM. Angalia uchaguzi wao wa mwenyekiti taifa, uchaguzi wa mwenyekiti vijana, viti maalumu vya 2005, angalia gogoro la chacha wangwe lilivyoshughulikiwa, nk. CHADEMA lazima ikubali kujisahihisha ili iwe mbadala wa CCM, nafasi ipo. Lakini kwa CHADEMA hii tunayoiona, wapi. labda tuseme tumechoka CCM kula peke yao, tuwape na CHADEMA wale. lakini sio tofauti katika maadili na demokrasia. anaebisha alete tofauti moja hadi nyingine kati ya CHADEMA na CCM katika eneo la uongozi na maadili tujadili hapa. wote ni ubabaishaji mtupu. Ni kweli watanzania wanahitaji chama mbadala, na CHADEMA ingependeza kuwa mbadala, lakini siyo CHADEMA hii ambayo bado inafanya uchaguzi wa mbowe na kivuli.. bado. bado sana...
Acha udini na ubishi unaonekana kabisa una agenda yako ya siri hapa, ukweli ni KWamba ni chama mbadala kwa CCM
"CHADEMA CHAMA CHA KANISA"
Mkuu Joshi Michael, kama kunena haya ni kigezo cha kuwa mdini, basi Mdini sio mimi bali walio nena haya.
Rejea Waraka wa kanisa katoliki Tanzania
BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA (TEC)
MPANGO WA KUHAMASISHA HUDUMA YA KICHUNGAJI KATIKA JAMII
KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2010
Idara ya Kichungaji TUME YA HAKI NA AMANI - TEC
MPANGO WA KUHAMASISHA HUDUMA YA KICHUNGAJI
KATIKA JAMII KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2010
"...... CCM na CUF kwa kanisa ni mfano wa mbwa mwitu aliyejivika ngozi ya kondoo... ., hivyo tumekutana viongozi wote na tumekubaliana kuelekeza nguvu zetu katika CHAMA CHETU CHA CHADEMA...."
MAAMKIZI YA AMANI KWAKO MKUU KABONDE.Mkuu Ulamaa naomba kutokubaliana na hoja ya udini CHADEMA.CHADEMA wapo viongozi wa kiislamu kibao kama wakina Zitto Kabwe na Bob Makani.