Sam SITa uko wapi...?? wape semina hawa spikas...hawajielewi kabisa...lkn kuna laana iliachwa na sita ndo maana kiti kinakuwa cha moto...wakatambikee...ila Ndugai akapimwe ubongo labda kuna tatizo kidogo..
Nimegundua kwenye siasa kuna unafiki mkubwa sana...mf. CDM na CUF leo wameungana kesho itakuwa vingine...NSSR waliiunga mkono CCM kuchukua Halmashauri na kukataa kuungana na CDM..leo wameungana kinafkii.. Mrema ndo hajijambui..labda umri..
Inaonekana wewe huna hata radio ya mkulima kujua kinachoendelea kuhusu sakata hili....wambea ni wale viongozi wa ccm mkoa wa kagera na Nape wanaobishana kuhusu kuwafukuza au la..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.