HAZINA YETU
Senior Member
- Mar 29, 2013
- 174
- 33
Katika hali inayoonyesha prof arsene wenger amedhamilia kuondoa ukame wa vikombe pale emirate inasemekana yupo kwenye hatua za mwisho za kumsainisha kiungo wa the bavarians luis gustavo kwa uhamisho wa pound millioni 14.!!!!!!big up proff mwaka wetu huu!!!1