Mrema hajijui yeye ni nani kisiasa. Mrema ni mpinzani anayecheza ngoma ya CCM. Hakuna watanzania wanaomwelewa Mrema zaidi watu wengi tunamshangaa.
huo udokta kaupata lini? maana mrema digrii kapata juzu juzi tu tena ya mtandaoni
Ndugu watanzania wenzangu kwa kijana yeyote aliye kuwa anajitambua kati kati ya miaka 1980 na 1995 atakubaliana nami kuwa mhe, Mrema amelifanyia mambo mengi Taifa hili hususani ktk nafasi yake ya uwaziri wa mambo ya ndani na hata akiwa naibu waziri mkuuu, sasa kitendo cha mkosa mali kumtusi mzee huyu wa makamo kuwa anabembeleza mafao yake kwa kuwaunga mkono CCM kikanifanya nijiulize kuwa hivi mkosa mali hatambui kazi zilizo fanywa na huyu mzee kubwa nikajiuliza hivi hawa wabunge huwa wanalipwa mishahara tofauti hadi wanadharauliana kiwango chakuwafanya viongozi wenzao ni maskini? Kwa umri, heshima na hata umaarufu wa mhe, Dkt Mrema mimi nilikuwa namshauri Mkosamali asijitafutie umaarufu kwa kumtusi mzee Mrema na badala yake amuombe radhi mzee Mrema wakulaumiwa ni CCM ndio walio leta hoja.
Hivi wewe unafikiri mtu mzima akiwa hovyo utamheshimu kwa vile tu ni mtu mzima? Ukiambiwa ana mtongoza mkeo utamheshimu?mrema ni mganga njaa tu hata kama ni idol wakoNdugu watanzania wenzangu kwa kijana yeyote aliye kuwa anajitambua kati kati ya miaka 1980 na 1995 atakubaliana nami kuwa mhe, Mrema amelifanyia mambo mengi Taifa hili hususani ktk nafasi yake ya uwaziri wa mambo ya ndani na hata akiwa naibu waziri mkuuu, sasa kitendo cha mkosa mali kumtusi mzee huyu wa makamo kuwa anabembeleza mafao yake kwa kuwaunga mkono CCM kikanifanya nijiulize kuwa hivi mkosa mali hatambui kazi zilizo fanywa na huyu mzee kubwa nikajiuliza hivi hawa wabunge huwa wanalipwa mishahara tofauti hadi wanadharauliana kiwango chakuwafanya viongozi wenzao ni maskini? Kwa umri, heshima na hata umaarufu wa mhe, Dkt Mrema mimi nilikuwa namshauri Mkosamali asijitafutie umaarufu kwa kumtusi mzee Mrema na badala yake amuombe radhi mzee Mrema wakulaumiwa ni CCM ndio walio leta hoja.
....Ritz bana... i worked for it..
hakuna kuomba radhi
hakuna kuomba radhi
Kumbu kumbu zangu zinanionyesha kuwa Mzee Mrema anakumbukwa kwa uhodari wake ktk utumishi wake wa wizara ya mambo ya ndani hakuna aliye mfunika kama naongopa nikosoeni. Mimi naona ni ujinga kumbeza Mrema kwa kudai haki yake, je yule mbunge wa CUF aliyebaki bungeni na Shibuda naye anadai mafao? Uzuri wa CDM hadi hao wakina Mkosamali, Mbatia, Machali huitwa CCM B uunganeni wawatumie kama Condom, mbona Machali na wenzake ndio waliungana na CCM kule uvinza kuunda halmashauri vipi na wao wana mafao wanadai? Mleta mada upo sahihi labda matumizi ya Dkt yanamsumbua huyu ajiitaye Dr. Mo pasipo kujua yeye aliipataje!
kama alivyousotea Dr Mrema, alipewa baada ya kazi zake nyingi zilizoonyesha mafanikio ndani ya Tanzania akiwa waziri wa mambo ya ndani na naibu waziri mkuu! mrema asingepambana na majambazi yaliyokuwa yametishia uhai wa taifa hili na biashara za magendo pengine nchi ingeingia machafukoni na hata hiyo MD yako usingeipata. TUDHAMINI KAZI ZA WENZETU!
mrema amechoka kifikra na kimtazamo ,mwaazime ubongo wako.Ndugu watanzania wenzangu kwa kijana yeyote aliye kuwa anajitambua kati kati ya miaka 1980 na 1995 atakubaliana nami kuwa mhe, Mrema amelifanyia mambo mengi Taifa hili hususani ktk nafasi yake ya uwaziri wa mambo ya ndani na hata akiwa naibu waziri mkuuu, sasa kitendo cha mkosa mali kumtusi mzee huyu wa makamo kuwa anabembeleza mafao yake kwa kuwaunga mkono CCM kikanifanya nijiulize kuwa hivi mkosa mali hatambui kazi zilizo fanywa na huyu mzee kubwa nikajiuliza hivi hawa wabunge huwa wanalipwa mishahara tofauti hadi wanadharauliana kiwango chakuwafanya viongozi wenzao ni maskini? Kwa umri, heshima na hata umaarufu wa mhe, Dkt Mrema mimi nilikuwa namshauri Mkosamali asijitafutie umaarufu kwa kumtusi mzee Mrema na badala yake amuombe radhi mzee Mrema wakulaumiwa ni CCM ndio walio leta hoja.
baba au babu yako akikukosea una haki ya kumtusi?