Kuna tabia ambayo wadada wengi wamekuwa nayo mda mrefu yaani mwanaume ukiwa huna hela halafu una umri mdogo unaonekana dogo na uwezi kuruka sarakasi zetu zile, ila ukiwa na hela bana unaonekana mtu mzima na very romantic hata kama una umri mdgo kweli wadada mmenishinda tabiaaaa
Nimepatiwa fedha kutoka kwenye gawio la nyumba ya urithi , ambapo nimepata kama milioni mbili na nusu,
Ombi langu nikujua ni biashara gani naweza fanya ambayo mtaji wake usizidi milioni mbili wala kupungua milioni ingawa kama ipo ya chini ya milioni sio mbaya pia ukaeleza kwa faida ya wadau wengne.
Ukituma meseji SIMU YANGU kwenda namba 15090 ndio jinsi ya kuhakiki simu fake au origino??
Nimetuma nikaletewa meseji ya tcra inasena simu yangu ni bandia niibadilishe kabla ya july, na asilimia kubwa ya watu wangu wa karibu waliojaribu inawaambia simu zao ni bandia.
Hebu nanyie jaribuni...
Katika watu ambao wanatakiwa kushukuru na wanaomba sakata la sukari liendelee,basi ni wale wenye tuhuma za matumizi mabaya ya mali za umma pamoja na rushwa.
Leo sakata la Sukari limefuta kabisa sakata la kashfa ya Lugumi,na ripoti ya CAG,leo hata waliokuwa vinara wa kutaka hatua kali za...
Haya mambo we acha tu, sema ndo hivyo unakuwa unawagonga kwa siri kwani kwenye jamii iliyostaharabika wanaona kama unapga bao la mkono tu, kwa hyo watu wangekuwa wanakuambia mambo yote ungeshanga jinsi vijana wengi walivyokuwa addicted
Miaka miwili nyuma niliweza kuachana na chama kikongwe zaidi duniani cha chaputa a.k.a bao la mkono, nikahamia kwa wahaya na kipato kinapokuwa vizuri naenda na maeneo mengine ya wadada poa kama Ambiance, Meeda, Buguruni n.k.
Ila kwa sasa nimeanza harakati za kuachana na madada poa tokea Pasaka...
Hii taarifa haijafikishwa kwa waziri yoyote kwani wana NIT ni waoga sana na hawapo united kwani hata viongozi wa chuo hawana habari na shida za wanafunzi , sijui nao wameshakula mlungula
Wanafunzi tunateseka sana halafu ndo hivyo ukimwambia mzazi akupe hela anafikiria unatumia vibaya hela ya mkopo kumbe una miezi hela ijaingia na wajanja wachache wamezishikilia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.