Kwanini haya magazeti yamekimbia habari ya Kitwanga?

Ombudsman

JF-Expert Member
Apr 18, 2012
3,565
3,730
Habari za Asubui?

Nimepitia baadhi ya vichwa vya habari vya magazeti, lakini kuna baadhi ya magazeti yameamua kutokuandika Habari ya aliekua Waziri wa Mambo ya Ndani.

Likiwemo gazeti la serikali ambalo linaendeshwa kwa kodi zetu sisi.

Kuna nini nyuma ya haya magazeti?
1463803552783.jpg
1463803562656.jpg
1463803569127.jpg
1463803573402.jpg
 
Kweli watu wamekamata system wanaogopa bado mtandao wake mkubwa upo serikalini siunajua alikuwa waziri na mtu wa kitengo?
 
linatoa habari zinazowafurahisha hao wazee wa kutoa hotuba Uingereza kwa watu mia tuu huku mamilioni hawakuambiwa kitu...
 
Nafikiri ni dalili tosha kuwa wana CCM hawakuridhika na utumbuaji huo maana hii habari inabidi iwe habari kubwa zaidi.
 
Khaa nyie achane uzushi kama habari ilitokea saa 9:00pm unataka watu wakaprint tena makaratasi ili tu habari hiyo itokee
 
Habari imetoka saa mbili usuku.muda huo magazeti yanakua yameshaingia katika press,kurekebesha uso wa gazeti haiwezekani
Mnaamka na viroba mnaanza kulaumu tu
 
Back
Top Bottom