Kweli huu mchezo hauhitaji hasira

May 3, 2016
18
10
Kuna tabia ambayo wadada wengi wamekuwa nayo mda mrefu yaani mwanaume ukiwa huna hela halafu una umri mdogo unaonekana dogo na uwezi kuruka sarakasi zetu zile, ila ukiwa na hela bana unaonekana mtu mzima na very romantic hata kama una umri mdgo kweli wadada mmenishinda tabiaaaa
 
Wanawake kwa kweli kuwaelewa unaweza kumaliza kitabu kizima na usiwaelewe. Mfano mwanaume unapokuwa mlemavu halafu huna hela hapo ulemavu wako unaonekana ila ukiwa na hela halafu mlemavu, watakuganda kama ruba.
Pesa ni kila kitu kwa mwanamke, mimba na ukimwi ni matokeo tu kwao
 
Back
Top Bottom