Kaka hapo wachawi wenu ni hao wachache waliowasaliti,mnapodai haki hakikisheni mpo pamoja wote.
NB:Kuna haki zingine kwenye makampuni sio za kushupalia maana hata kampuni zenyewe nyingi saivi zina run under projected profit au loss kbsa.
Sent using Jamii Forums mobile app
1.Nakubaliana na ww hii ni biashara yenye risk kuubwa.
2.Biashara hii inaweza kua na faida kubwa au ndogo kulingana na eneo ulilopo,idadi ya miamala na mtaji wako.(Hii ni biashara ya commision,the more u transcat the more u r commisioned)
3.Sio kweli ili usipate hasara lazima uwe mtu wa kwenye...
Jiulize makampuni kama USAID yanafanya nn allover Africa supporting big ptojects? Kiuhalisia msaada ni sehemu ya mtu/nchi kuji-strengthen na kuimarisha loyalt from others.
Kwa ushauri wangu huna budi kua loyal kwa huyo mtu aliekupa msaada whether kinafk au la vinginevyo uhakikishe umejipanga...
Wabongo kwa lawama, kila kitu kiko under control.....niliona jamaa yangu akipewa laki 5 za marehemu. Makampuni yote yameainishiwa taratibu za kufuata pindi mteja wao anapofariki(BOT)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.