Clouds Media Group walia na ugumu wa biashara, Kusaga adai wanaweza kufunga hali ikiendelea hivi


brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
3,660
Likes
4,285
Points
280
brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
3,660 4,285 280
Bosi wa Clouds Media amesema tangu kutokea changamoto ya local channels kuondolewa kwenye ving'amuzi vyombo vya habari hivo vimeathirika kwa kiwango kikubwa na hapo wanapenda kutoa ajira kwa vijana lakini wanakoelekea watakwama na kupunguza wafanyakazi.

Kusaga" wakati kupo kwenye ving'amuzi vyote zuku, startimes, Azam na DStv mfano makampuni Kama Vodacom, Tigo na Airtel walikuwa wanaona views milioni 1 wanakulipa fungu zuri kutokana na idadi kubwa ya watazamaji, lakini kwa sasa views wameshuka Hadi laki moja kwaiyo makampuni hayo yamekata bajeti zao na kukulipa kuligana na idadi ya watazamaji na huwezi kuwalaumu hata Kama wanakupenda lakini wanakulipa unachostahili Sasa kwa Hali hii wafanyakazi Hawa vijana wanafamilia tutawalipa vipi?

Maana yake hatuwezi kufika inabidi tuwapunguze japo tunawapenda". Kuna haha la kuniangalia upya suala hili.

Kusaga ameongeza hata wasanii wameathirika hawapati tena show nje kwakuwa hawaonekani Tena Kama zamani

View attachment Inst-video-1.mp4
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
22,219
Likes
5,436
Points
280
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
22,219 5,436 280
Katika biashara usitegemee faida kila siku
 
Diksela

Diksela

Senior Member
Joined
Nov 6, 2014
Messages
173
Likes
166
Points
60
Diksela

Diksela

Senior Member
Joined Nov 6, 2014
173 166 60
Hii inasikitisha, mamlaka liliangalie upya suala hili, wasione aibu kushindwa ikiwa ni kwa manufaa ya wengi.
 
S

sisi ni ndugu

Member
Joined
Sep 4, 2018
Messages
17
Likes
7
Points
5
S

sisi ni ndugu

Member
Joined Sep 4, 2018
17 7 5
mfano mwingine ni bongo star search, swala la local channels pia imesababisha show hiii kukosa ule u maaarufu wake wa miaka ile, watu hawaioni wala nn wanafanya mambo mengine
 
Jerrymsigwa

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Messages
13,983
Likes
4,432
Points
280
Jerrymsigwa

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2012
13,983 4,432 280
Si ndio walikua wanampa airtime sana jiwe hawa,Kibonde kutwa kuponda upinzani..........someni namba daadeki
 
N

ngonyango

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2017
Messages
1,139
Likes
862
Points
280
N

ngonyango

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2017
1,139 862 280
KADRI MUDA UNAVYOKWENDA MAMBO YANAKUWA BANKRUPT KABISA KIUCHUMI TUNA SHUKA SIO KUPANDA NA NI TATIZO SANA ANGALIA NCH NYING SANA ZENYE KUMINYA MAMBO MWISHO WA SIKU WATU WANACHOKA NA KUZAMA FRONT
Nchi hii hata wakisema wanaume wote wapewe mimba ...mtanung'unika mtandaoni kama hivi na mimba mtabeba..hakuna mwanaume wa kuingia front! ndiyo maana nimepata mzuka wa kugombea urais 2030
 
N

ngonyango

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2017
Messages
1,139
Likes
862
Points
280
N

ngonyango

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2017
1,139 862 280
mfano mwingine ni bongo star search, swala la local channels pia imesababisha show hiii kukosa ule u maaarufu wake wa miaka ile, watu hawaioni wala nn wanafanya mambo mengine
mi huwa naiona mbona kupitia cable TV
 
M

MotoKazi

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Messages
539
Likes
476
Points
80
M

MotoKazi

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2015
539 476 80
Hilo lipo wazi....biashara ya tv bongo imekua ngumu sana......wanawekewa masharti kuliko hata yake ya mganga wa kienyeji
Shida ya watu wasio na akili ukawapa mamlaka..........
walifanya hay bila kuangalia athari za kiuchumi kiujumla.....

Vitu vinavyofanywa utafikiri ni Housegirl aliyempindua mama mwenye nyumba...........
 
R

Roy kimei

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2017
Messages
422
Likes
256
Points
80
R

Roy kimei

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2017
422 256 80
Very soon tutabakiwa na TV station moja, Radio moja, na gazeti moja au mawili hivi. uhuru na mzalendo. Kwa kweli tutakua tumepiga hatua kubwa ya maendeleo kisiasa.
 
W

Wazolee

Senior Member
Joined
Sep 1, 2018
Messages
144
Likes
128
Points
60
W

Wazolee

Senior Member
Joined Sep 1, 2018
144 128 60
Watanzania tumezoea copy & pest sheria wanazotunga wenzetu
Sasa hi sheria ya ving'amuzi TCRA walikosa pa Ku copy & pest wakatunga wenyewe matokea yake ndio haya wameleta sera ambayo haina kichwa hata miguu
Mimi binafsi kila wakiielezea hi sheria yao huwaga sielewi
Lakini mwisho wa siku TCRA wanatunga sheria kwa manufaa ya wananchi sasa kama wananchi haina manufaa kwao kwani wao hawataki kuibadilisha
 
miminawewe20017

miminawewe20017

Member
Joined
Dec 12, 2017
Messages
67
Likes
84
Points
25
miminawewe20017

miminawewe20017

Member
Joined Dec 12, 2017
67 84 25
TCRA sijui walikuwa wanawashwa na nini, sisi watazamaji hatujawahi kulalamika
Wananchi wengi tu walikuwa wanalalamika kuhusu kulipia 'local channel' wakati walitangaziwa kuwa 'local channel' ni bure ingawa jinsi tatizo lilivyotatuliwa sijakubaliana nao.Kuna haja kweli ya kukaa tena kati ya TCRA na hao wenye ving'amuzi kuona njia nzuri inayoweza kufanyika mtazamaji na mtoa huduma wote wakafaidika.
 
M

marxistfox

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2010
Messages
291
Likes
465
Points
80
M

marxistfox

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2010
291 465 80
Hawa ndio wale wasifiaji wakubwa, kuna wakati waliwahi hata kumuandalia Kikwete 'birthday party' pale ikulu. Na lilipokuja lile wimbi la kusifu,kuabudu,kuimba mapambio na kuunga mkono juhudi, pia walikuwa mstari wa mbele. Sasa hamna namna,wapunguze hizo ajira na ikiwezekana wafunge biashara kabisa. Haya majitu ni majinga na manafiki. Funzo; hata kama wewe ni tajiri na unaajiri watu, jifunze kupenda haki,kemea maovu, leo kwetu kesho kwako! Bwege wewe!
 

Forum statistics

Threads 1,237,059
Members 475,401
Posts 29,276,883