Recent content by Ugangaaa

  1. Ugangaaa

    JamiiForums Tanzania AFYA: Vitambi hupunguza uwezo kushiriki tendo la ndoa

    AHSANTE KWA JUMBE NZURI
  2. Ugangaaa

    JamiiForums Tanzania Zama za kutangaza kwa "kipaji" zimepitwa na wakati

    hatariiii
  3. Ugangaaa

    JamiiForums Tanzania Sababu za ualimu kuwa taaluma (kazi) ya hali ya chini Tanzania

    Mtoa mada nikupongeze kwa mada fikirishi, yapo ambayo umenena vyema pia yapo ambayo umepotoka ( umezungumza kwa mazoea na mwishoni ukutoa hitimisho nn kifanyike?. Nakiri mm ni Mwalimu, siyo kweli kada ya Ualimu ni yakimaskini, fanya tathmini vizuri ukakubaliana na mm. Wapo walimu wanamaisha...
  4. Ugangaaa

    JamiiForums Tanzania Upendo uliopotea miongoni mwa viongozi wetu

    "Wanasema Kila enzi na kitabu chake"....Long live Mzee Kikwete.
  5. Ugangaaa

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu ununuzi wa tairi la gari na utumiaji wake

    Ahsante kwa elimu nzuriiii.
  6. Ugangaaa

    JamiiForums Tanzania Barakoa zitashindwa pia sawa na lockdown

    Mola atusaidie kwa kweli Mana bila huruma yake hali itazidi kuwa mbaya....Kama kunawa,,kutumia sanitizer na kuvaa barakoa ndiyo ingekuwa kinga natiba sahihi basi mataifa makubwa Watu wake wasingepukutika hivi. Tumrudie Mola na tumuombe sana atuhurumie.
  7. Ugangaaa

    JamiiForums Tanzania Ndugu wanachangia kukuporomosha kiuchumi

    Wanasema ukitaka vunja udugu Basi mkopeshe ndugu alafu umdai....
  8. Ugangaaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku mkeo akianza kulala na wanaume wengine ujue kifo chako kiko karibu

    💯
  9. Ugangaaa

    JamiiForums Tanzania Jeshi kambi ya Msata nidhamu imepungua

    Uo ni uanajeshi wa kizamani, Nguvu na mabavu kwa watu wasiojua kutumia silaha, walipa Kodi ambao ndio wananunua sare zao na viatu. Siamini Kama Askari jeshi wa aina hiyo bado wapo vikosini. Ngoja mamlaka husika zitachukua hatua.
  10. Ugangaaa

    JamiiForums Tanzania Familia kuongea Lugha 1 ni muhimu sana kwenye mafanikio ya Biashara

    Mtoa mada upo sahihi, Kuna mengi ya kujifunza hapaaa
  11. Ugangaaa

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwamba NSSF wana ubaguzi?

    Subiri wajuzi zaidi wafike
  12. Ugangaaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mkeo ‘akiliwa’ nje, kinachokuumiza ni nini hasa?

    Mtoa mada bila shaka ujaoa ndiyomana unaweza andika chochote kuhusu mke...walio oa hawawez leta mada Kama hii.
  13. Ugangaaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi akina mama walivyo na uwezo wa kujenga na kubomoa familia

    True...ukweli mtupu mtoa mada, wanaume wengi tunakufa kwa sababu ya maumivu na msongo wa mawazo.
  14. Ugangaaa

    JamiiForums Tanzania Gwajima sio wa kupuuzwa, ushauri wake kuhusu Corona umenitetemesha leo

    Yupo sahihi kiasi flani...
  15. Ugangaaa

    JamiiForums Tanzania Kufanya mazoezi ni kupoteza nguvu bure

    Hatariiii sanaa
Back
Top Bottom