Jeshi kambi ya Msata nidhamu imepungua

Deghe Mangae

Senior Member
Mar 3, 2020
171
149
Kuna vijana wanajeshi pale msata
Wanasumbua sana raia pale msata
Wanawapa raia vichapo na kuwaibia
Mali zao pasipo sababu nimepata
Kisa hiki ofisini kwangu hawa vijana
Wanashusha hadhi ya jeshi letu pale
MSATA naomba Ngazi husika ijue hili


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uo ni uanajeshi wa kizamani, Nguvu na mabavu kwa watu wasiojua kutumia silaha, walipa Kodi ambao ndio wananunua sare zao na viatu. Siamini Kama Askari jeshi wa aina hiyo bado wapo vikosini. Ngoja mamlaka husika zitachukua hatua.
 
Una uhakika kuwa ni vijana wa jeshi?
Bora ungeripoti polisi kuliko kuleta taarifa zinazoweza kuleta usumbufu kwa baadhi ya watu hapo jeshini hata wasiohusika
Kuna vijana wanajeshi pale msata
Wanasumbua sana raia pale msata
Wanawapa raia vichapo na kuwaibia
Mali zao pasipo sababu nimepata
Kisa hiki ofisini kwangu hawa vijana
Wanashusha hadhi ya jeshi letu pale
MSATA naomba Ngazi husika ijue hili


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vijana wanajeshi pale msata
Wanasumbua sana raia pale msata
Wanawapa raia vichapo na kuwaibia
Mali zao pasipo sababu nimepata
Kisa hiki ofisini kwangu hawa vijana
Wanashusha hadhi ya jeshi letu pale
MSATA naomba Ngazi husika ijue hili


Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini ungekwenda hapo kwao Msata kupeleka malalamiko ingependeza zaidi, maana hizo ngazi husika sidhani kama zimo humu.

ᴹᵒᵏⁱˡⁱ ᵒʸᵒ ᵉᵗᵒⁿᵈᵃ ᵐᵃᵏᵃᵐᵇᵒ ᵉᵇᵉˡᵉ
 
Kuna vijana wanajeshi pale msata
Wanasumbua sana raia pale msata
Wanawapa raia vichapo na kuwaibia
Mali zao pasipo sababu nimepata
Kisa hiki ofisini kwangu hawa vijana
Wanashusha hadhi ya jeshi letu pale
MSATA naomba Ngazi husika ijue hili


Sent using Jamii Forums mobile app
Sasahivi ni jeshi lote, tembelea Kabuku Tanga siku za mshahara utagundua nidhamu ya Jeshi sikuhizi imekwisha, pale kuna JKT Mgambo, nishida kwakweli. Wahusika mliangalie hili kwa kina, nidhamu ya zamani imepotea
 
wanajeshi wa bongo bana,wao ubabe wao ni kwa raia tu,kuna mmoja aliwaletea ubabe wa kijinga police wa pale arusha,wale police walimpa kichapo na akalala lock up,kesho yake mkuu wake wa kikosi akaenda kumuombea msamaha.
 
Inawapasa tuwahamishie Tabora wakagongane na vidume wa kule!
Maana kule kila siku twapokea taarifa za misiba ya wajeda wenzao!
Tabora ni shida, si ya wanaume, ni ya vibaka, wezi na majambazi. Polisi nao ama wamewashindwa, au kuna mgomo baridi. Asubuhi, mchana wanakunywa, usiku wanakaba na kuiba. Bar haziruhusiwi kufunguliwa mpaka saa kumi, pombe wanapata madukani. Polisi, watendaji kata na maafisa biashara wanawaona, madhara yake wanayajua, lakini hawachukui hatua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom