Kufanya mazoezi ni kupoteza nguvu bure

Kufanya mazoezi ni kupoteza nguvu bure

kwenda21

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
3,423
Reaction score
3,416
Naishauri serikali itenge maeneo ya mashamba ambayo mtu yeyote akiamua kwenda akalime, chakula kipelekwe kwenye ghala la chakula na kingine kidogo apewe muhusika aliyelima.

Inauma kuona watu wanakimbiza upepo huku mitaani na kuharibu nguvu,wakati anaweza lima na humohumo akawa anafanya mazoezi 2 in one,by simon christian

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa naunga mko hoja miezi sita nilipo weka kambi shambani kitambi kwisha kabisa nikawa mtu wa six pack kama unabisha shika jembe ndani ya miezi miwili tu uone ndio maana watu wa mikoani wana muonekano mzuri wenye afya kuliko watu wa dsm coz wao kazi ni kukata mayenu (viuno) nakula chips mayai bila kazi.

Labda hao wachache angalau wanao kimbiza upepo huku akiwa na stress kibao kua atakula nn baada ya hapo.

Mimi baada ya kuvuna naona body nzuri utajiri nimeupata kutokana na nguvu yangu na mwaka huu lazima mle sana mchele wangu kazi ya kuinama kuinuka mara beba hiki jembe jembe.

Kiufupi sina njaa wala stress niliachaga kutumia maguvu mengi kunyanyua machima sijui kukimbiza upepo wakati uchumi wetu ni ovyoo.

Wenzetu wao wanakila kitu angalia wachina katika kazi za kila siku ndio amapo tengeneza formila ya marshal art.
 
Naishauri serikali itenge maeneo ya mashamba ambayo MTU yeyote akiamua kwenda akalime,chakula kipelekwe kwenye ghara la chakula na kingine kidogo apewe muhusika aliyelima,inauma kuona watu wanakimbiza upepo huku mitaani na kuharibu nguvu,wakati anaweza Lima na humohumo akawa anafanya mazoezi 2in one,by simon christian

Sent using Jamii Forums mobile app

KWELI KABISA MKUU. Hamna kitu kinaniumaga Kama kutoka jasho bure faida ya mazoezi Ni kubwa ila mazoezi nayo yanatakiwa yazalishe.
 
Naishauri serikali itenge maeneo ya mashamba ambayo MTU yeyote akiamua kwenda akalime,chakula kipelekwe kwenye ghara la chakula na kingine kidogo apewe muhusika aliyelima,inauma kuona watu wanakimbiza upepo huku mitaani na kuharibu nguvu,wakati anaweza Lima na humohumo akawa anafanya mazoezi 2in one,by simon christian

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishawahi kushauri kuliko kwenda gym kubeba michuma bila faida yoyote ni bora mtu akaenda kwenye maeneo ya masoko akabebe magunia ya viazi na mchele hakika atajazia,six pack atapata na pia atalipwa pesa taslaim.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najiuliza tu, naishi Kariakoo sijui hilo shamba la mimi kwenda kulima litakuwa wapi, niamke muda gani kwa ajili ya kwenda shamba, saa ngapi nitamaliza kulima, kurudi kariakoo, kujiandaa na hatimaye kwenda kazini, na sijui ni muda gani nitafika huko kazini.

Naiona dalili ya watu kwenda kazini saa sita mchana! [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ushauri tu.
Mshua🙄 kuna watu town hawajui hata mbegu za maharage Sasa ukisema mazoezi ni kupoteza muda bora wakalime. Ni sawa na kusema kusomesha boarding ni kupoteza hela kwann asisome tuition tu.

Kama ambavyo hujanielewa 😝😝basi nasi wakazi wa dar hatujakuelewa hivyo hivyo.
 
Najiuliza tu, naishi Kariakoo sijui hilo shamba la mimi kwenda kulima litakuwa wapi, niamke muda gani kwa ajili ya kwenda shamba, saa ngapi nitamaliza kulima, kurudi kariakoo, kujiandaa na hatimaye kwenda kazini, na sijui ni muda gani nitafika huko kazini.

Naiona dalili ya watu kwenda kazini saa sita mchana! [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya chochote cha uzalishaji jirani na wewe ikimradi jasho likutoke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom