Recent content by Ubuntu Master

  1. Ubuntu Master

    Kitabu cha Kusadikika unabii wa Mwandishi Shaban Robert...

    Hii hadithi inaendana kabisa na hali ya sasa.
  2. Ubuntu Master

    Serikali ya Tanzania yapiga marufuku vitabu vya SHAABAN ROBERT

    kwa nini sasa vitabu vya shaban robert vilizuiliwa?
  3. Ubuntu Master

    Mwanahabari Jerry Muro ahoji uhalali wa tume ya Mhe. Nape Nnauye

    Huyu mla rushwa nae anaandika nn.
  4. Ubuntu Master

    Ajira za ualimu 2017

    DAH poleni sana vijana wote ambao mnasubiri ajira za serikali kutokana na matumaini za hap na pale zinazotolewa na serikali. Muhimu muwe tayari na plan B kwa sababu kila dalili inaonyesha serikali hii haina uwezo wa kuajiri waajiri wapya isipokuwa porojo tu.
  5. Ubuntu Master

    Kusaga aja na stesheni mpya ya redio

    sasa BBC inapatikana frequency zipi maana ndio nasikilizaga, nikashanga jana kufungua nakuta miziki tu kumbe wamehama.
  6. Ubuntu Master

    Msaada: Bachelor of information technology 'IT'

    wanafundisha vizuri, ila hili swala la kufundishwa vizuri kiukweli na juhudi zako ndicho kinachohitajika sana kuliko hata lecturer, soma sana vitabu na unapaswa uwe flexible sana mambo ya teknolojia huwa yanabadilika kwa hiyo unajikuta unatakiwa uwe tayari kujifunza kitu kipya kila mara kama...
  7. Ubuntu Master

    Msaada: Bachelor of information technology 'IT'

    Mkuu ndio maana unaambiwa unatakiwa kupekecha kichwa vizuri, kwa mfano kwenye IT kuna computer graphics, hapo jiulize kama una ujuzi huo kwa nini usitengeneze katuni za kiswahili na ukaanza kuziuza kwa ajili ya watoto kibongo na nakuhakikishia wateja hutokosa, unaweza kuona kama wazo la kijinga...
  8. Ubuntu Master

    Msaada: Bachelor of information technology 'IT'

    University of Dar-Es-Salaam Computing center(UCC) kipo mtaa wa azikiwe kwa dar, pitia hiyo website kwa maelezo zaidi University of Dar es salaam Computing Center
  9. Ubuntu Master

    Msaada: Bachelor of information technology 'IT'

    certificate, anaweza kusoma nadhani UCC kinafaa.
  10. Ubuntu Master

    Sitopiga kura tena bila Tume huru ya Uchaguzi 2020

    Ahsante mkuu, hiki ndicho ambacho mi ninazungumzia na sio kupiga porojo bila kuonyesha hata mifano kidogo yenye ushawishi.
  11. Ubuntu Master

    Msaada: Bachelor of information technology 'IT'

    ajira za kuajiriwa upande wa IT ni chache sana na ngumu kupata, japokuwa ina fursa nyingi kama ukipekecha kichwa vizuri hela ya kula hukosi, kikubwa kama unasoma hiyo kozi malengo yako makubwa yabase kwenye kujiajiri kuliko kuajiriwa, ila kama unataka kuajiriwa kwa haraka basi soma kozi za afya...
  12. Ubuntu Master

    Kamata Mwizi: Utapeli katika Ajira

    kwani mmiliki wa mtandao wa zoom ni nani? maana malalamiko ya aina hii yapo mengi.
  13. Ubuntu Master

    Sitopiga kura tena bila Tume huru ya Uchaguzi 2020

    OK, Kama hivyo ndivyo unavyodhani basi sawa, mi binafsi sipo tayari kuelea na upinzani huu uliopo sasa.
  14. Ubuntu Master

    Sitopiga kura tena bila Tume huru ya Uchaguzi 2020

    hoja ipo kama ilivyo andikwa, kwamba kuna upinzani ambao hauna uwezo wa kuleta mbadala wowote. Nipo sawa, huu upinzani uliopo sasa hauna uwezo wa kuleta mabadiliko yoyote. kwa nini mi niwe na jibu, ww ndio mwenye jibu la kudhani mtu ambaye yupo tofauti na huu upinzani uchwara uliopo sasa kuwa...
Back
Top Bottom