TATA PANYA
Member
- Jul 26, 2013
- 54
- 7
Mbona mmmmmmh?Mmmmh!
Mbona mmmmmmh?Mmmmh!
Huogopi kutiwa ndani kwa uchochezi!? Au na wewe ni miongoni mwao!Mbona mmmmmmh?
Sasa iajili hao 30,000 hao si ni intake moja tu? mpaka 2020 kutakua na intake ngapi ambazo watu wako mtaani?Serikali ya CCM inawapa pole kwa likizo ndefu iliyowapa...inapenda kuwahakikishia wananchi.wake kuwa itaajili walimu 30,000 ifikapo 2020...endeleeni kuwa wavumilivu
.ndo huwa majibu yao..hayamake sense
Serikali pia itoe tamko kwamba kwa sasa ualim sio fani ya kukimbilia maana watu wengi wanakimbilia ualim wakijua kwa ni rahisi kuajiriwaWabongo kwa kulalamika baba.
Achaneni UNDAZI Nyie. Malalamiko sio hoja ndugu zangu. Fanyeni kazi ZINGINE. Sio lazima muajiriwe Serekalini……….
Uwanja wa CCM refa wa CCM camisaa wa CCM Ligi ya CCM we unadhani utashinda wapi!!!Kama hamkukosea mbona mnalialia kila Mara? Tatzo ni kuwa tunachagua viongoz kwa kutmia vyama, chama kilekile toka awamu 1,2,3,4 haf 5 tena mnachagua hichohcho je mnatagemea mabadliko? Hakna jipya zaidi ya uongoz wa chuki na visasi!
Ww jamaa na walimu wengine dizaini yako mna moyo, bado una imani na hii serikali tu, kama mkuu aliweza kudanganya sembuse huyo mama.Kama kweli Kairuki alikuwa anamaanisha kesho 25/02/2017 ndo tarehe rasmi ya kutangaza ajira.
wamepeana wakina nani? funguka Mkuu na uweke ushahidi Wa kutosha, otherwise kaeni kimya kama hamjui chochote.Jiajiri na ufanye kazi kweli kweli. Usitegemee ajira serikalini zina wenyewe na wameshapeana wizara tayari, wew na bibi yako nenda kalime shamba (sorry kama nimekukosea...!)