Recent content by Ubungo Mataa

  1. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Dukuduku la mapenzi na mahusiano - njoo tuteme nyongo 😮‍💨 na tuzogoe!

    Wakuu, tuende mbele turudi nyuma.. Asee kuna watu wana mashimo asee. Yale mashimo ya TEWA aliyoimba Samba Mapangala. Kabla hata sija-bolt nilifuta na kublock namba. #Humu tuu.
  2. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa majeshi (CDF) na IGP wakienda mahakamani Lissu atahukumiwa kunyongwa

    Punguza visungura mkuu, vinakuharibu sana.
  3. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania ID zenu nyingine tunazijua

    Hii nchi ngumu sana
  4. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnitakie heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu

    Sawa mkuu
  5. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnitakie heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu

    Bila chochote kitu mkuu?
  6. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnitakie heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu

    Punguza maneno mkuu, sema tuu unataka kuokota chochote kitu.
  7. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nataka kuwa fundi simu, lengo langu nifungue office ya accessories. Kila kitu kipo. Natafuta fundi wa kunifundisha, nitakuwa nakuja ofisini kwake. Namlipa vzuri tuu. Moaka nitakapoona nimelewa. Nimesomasoma kidogo. Sio mzito hata kidogo kuelewa. DM iko wazi wakuu.
  8. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Kwa mabazazi tuu

    Hivi siku hizi kuna kukosa tena?
  9. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo, iwe ni Marufuku kwa CHADEMA /Wanaharakati kumzungumzia Mbowe, kumzungumzia ni kumfanya aonekane ana umuhimu

    Hata huvyo ana umuhimu mkuu, huoni? #Maendeleo hayana chama
  10. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua kuhusu update ya michango ya CHADEMA

    Mkuu kwahiyo unataka kutuambia kile chama pendwa cha kijani ni cha wale jamaa wa mwezi na nyota? #Hili nalo mkalitizame.
  11. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wa Mungu wa Leo Wana vitambi?

    Mkuu Hivi Pastor Tonny Kapola (yule mtaalam wa masuala ya gesi) nae akitambi siku hizi? Ni muda mrefu sijamuona. #Hili nalo mkalitizame.
  12. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Watoto 12 wa YAKOBO ni WAAFRIKA....siri imefichuka,,,,,,

    Mkuu usikute ni ndio hawa akina Nabii Titto nini? #Hili nalo mkalitizame.
  13. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania JINSI YA KUINGIA TWITTER BAADA VPN KUWA HAIFANYI KAZI TENA

    WTF. #Hili nalo mkalitizame.
Back
Top Bottom