Kwa hiyo familia mzima wanakutaka wewe tu[emoji15][emoji15][emoji848], kuna mambo mawili tu hapo.
1.Wewe ni mpango wa familia
2.Binti yao kashondikana wanatafuta pa kumtua.
Kuwa mtu wa karibu wa Maalim au ambaye anafanana na sifa za Maalim isiwe kigezo katika mapendekezo.
Mazingatio:
1.Sifa binafsi katika kusimamia ustawi wa watu?
2.Uadilifu?
3.Ufahamu wake katika siasa za Zanzibar na msimamo wake kuhusu maridhiano.
4.Ufahamu wake kuhusu fursa za kiuchumi za...
Huyu mheshimiwa ana uwezo wa kufikiri nje ya mfumo uliopo na kuwasilisha mawazo yake hata kama wote hamuyaamini...
"HE IS MY ROLE MODEL"
Nukuu: Kishimba
"Kama tumefanya business as usual na hakuna matokeo chanya kwa nini tusijaribu kufanya maamuzi kinyume na mazoea yetu..."
Tuna wajibu wa...
Naomba tukubaliane kutokubaliana[emoji120][emoji120] kwa Muktadha huu kuna mtu atakuja niambia kuwa OCS, OCD,RPC and DCI ni rank lakini hazina nembo rami kama ilivyo IGP (Rank=Nembo rasmi)
Sent using Jamii Forums mobile app
Nielekeze polepole ndugu nitarlewa tu[emoji120][emoji120][emoji120] Rank ya andengenye alipokuwa mkuu wa zimamoto ni ili? Na mambo yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama kuna mwenye monopoly ya taarifa...Jukwaa lipo kwa ajili ya kujifunza sio kujua nani unajua zaidi..Na kwa message yako pia najifunza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba unijibu Rank Za polisi zinaanzia ili mpaka ipi?? Je wakati Sirro anaapishwa Mangu alikuwa na cheo gani? Then nitakuelewa...
Sent using Jamii Forums mobile app
IGP ni cheo rasmi cha kipolisi...But CDF ni madaraka ndio maana CDF wa JMT ni General Mabeyo....Lakini huwezi sema IGP wa JMT ni Commissioner Sirro.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.