Wana JF yamenikuta ya huyu binti mwenye mtoto, tafadhali naombeni ushauri

acha upumbav mtoa mada, narudia tena acha upumbumbav hilo ni kaburi na taabu ya maisha inakuita, kama una akili timamu achana na huyo mwanamke, narudia tena kwa capital leters ACHANA NA HUYO MWANAMKE atakuja kukuvurugia maisha yako yote we mchukulie mzaha, usirudi nyuma ata akienda kwa rais! SHETANI ANA NGUVU SANA
 
Wadau habari, poleni na majukumu.
Kilichonileta apa leo ni kuomba ushauri je nifanye nini juu ya hili,

Niliingia kwenye mahusiano na mwanamke mmoja ambaye alizalishwa na jamaa uko tunduma, mwanzo sikuwa naiona athari yoyote ya kuwa na mwanamke ambaye alizaa nikiamini kwamba sio wanawake wote waliozaa ni shida hasa likija suala la baby dady dramer, lililonipa nguvu zaidi ni pale baada ya mwanamke kunambia yeye alizalizaa tu na huyu mwanaume na hawezi kuwa na mahusiano yoyote ya kimapenzi na baba mtoto zaidi ya kumlea mtoto na ukizingatia uyu bwana ni mume wa mtu wa ndoa uko alipo na nilihakikisha hili.

Nimeishi pamoja na uyu mwanamke mwaka sasa, japo tangu mwanzo kulishatokea vitimbwi vingi sana mara kwa mara na nilivivumilia, ni mwanamke flani hivi ambaye alishapitia ujana mwingi sana, ninavyosema ujana namaanisha alishakuwa mwanamke wa kujirusha sana uko ma night club na kadhalika.

Mimi ni kijana mwenye kazi yangu nzuri tu, na kwa kipato changu nna uwezo wa kumtimizia kila hitaji atakalo uyu mwanamke na sio yeye tu hadi uyu mtoto wake ambaye c wangu, namlea mtoto wa mwanaume mwenzangu bila kinyongo ' msinilaumu kwa hili ni kwa upendo tu '.

Sasa shida iliyopo ni hivi,, kila nikizinguana na uyu mwanamke ata liwe jambo dogo tu na hata kama alinikosea yeye then kiume tu nika react kuonyesha kutopendezewa na hilo jambo alilofanya, basi siku hiyo baba mtoto atatafutwa kwa speed zotee, ataitwa dady nikutumie picha za mwanao umwone, dady tutumie pesa za matumizi tumeishiwa, dady iv dady vile..

Hali hii hutokea mara kwa mara kwa huyu binti, kuna nyakati nilichoshwa na huu mtindo wake 'inakera' na nilimuuliza so why kila tukiwa hatupo sawa unamtafuta uyu mtu alinijibu kuwa ata yeye haelewi ni nini huwa kinampata kufanya hivi, lakini ilijirudia hivyo zaidi ya mara 3 hata baada ya kumuuliza tayari na kunijibu kuwa ata yeye haelewi lakini siku zingine alirudia kufanya hivyo.

Ikafika wakati nilichoka, nikamwambia tu kuwa siwezi tena kuwa pamoja nae kwa sababu alimweka baba mtoto kama tishio kwangu, tuliachana kwa ghadhabu sana na kila maneno ya kumkatisha tamaa niliyanena kwake, lakini hakutaka kukubaliana na hili, nilimblock kila kona ya mawasiliano baina yetu, lakini alionyesha kujutia hili na kuni ahidi kuwa awezi rudia tena kufanya hivyo, wakati huo alinifuata adi ofisini bila uwoga wowote alianza kulia na kutia huruma, wafanya kazi wenzangu waliliona hilo na kunishauri kuwa nimpe tu chance nyingine. Basi kwa sababu tumeumbiwa huruma nilimhurumia na kurudiana nae.

Mwanamke ni mzuri tena bado ni mdogo tu, ajachakaa kiivo, nimemzidi karibu miaka 10

Sasa juzi kati tena apa umetokea ugomvi kati yetu mkubwa tu, alicharuka tu ghafla akinambia kuwa anahitaji niende nyumbani kwao nikaonekane ili nimchukue official kwenda kuishi nae, mimi nilimjibu kwamba asubiri asiwe na haraka, basi kujibu kuwa asiwe na haraka ikawa kosa, usiku huo baba mtoto katafutwa, dady mambo, jamaa kajibu poa, dady mimi nimechoka kukaa apa nataka kuondoka kama vipi tuje uko ulipo nitafutie mishe ya kufanya uko mimi apa nimechoka kuishi, au basi nipe pesa ya mtaji nianze biashara uko mbali na apa ' Aisee iliniuma sana na kujiuliza kapata wapi huu ujasiri tena wa kumweleza haya yote uyu bwana '

Mimi ni Afisa Katika Kampuni flani ya mawasilino, hivyo nimetrack simu yake huyu binti kila afanyalo katika simu yake naona, ule usiku alimtafuta sana jamaa ad kujaribu mara nyingi kumpigia lakini jamaa hakupokea simu, zaidi jamaa alimwandikia sms kuwa mbona unanieleza haya yote na hali nimesikia yupo mwanaume uko anayekutunza kwa kila kitu na matumizi anatoa, lakini akajibu kwa kushangaa kuwa hakuna mwanaume yeyote anayefanya chochote juu yake 'alinikana kwa jamaa ' , alinipigia simu nikapokea, nikamuuliza umefanya nini, akanijibu kuwa ajafanya kitu, nikamuuliza umewasiliana na nani na hayo yote uliyomweleza, akanijibu kuwa yeye amechoka kwa sababu nimegoma kujionyesha nyumbani kwao ili tukaishi pamoja, nikamjibu sawa kwaheri.

Nikamblock then program nayoitumia kumtrack nikai remote ifute kila kitu kwenye simu yake, na kweli cm ikawa formated, nilifanya hvo ili asiwe na kumbukumbu zangu zozote kwenye simu yake, ili iwe rahisi kwake kunisahau.

Alinitafuta kwa namba nyingine na kunambia hayupo tayari nitoke kwake kwa sababu bado ananipenda na kunambia kwamba pia sitoweza kutoka kwenye maisha yake, kauli hii ilinitisha kidogo, nikamjibu sawa ila hesabu kwamba mimi sitoweza kurudi tena kwako, TUMEACHANA. Aliwaambia dada zake wakaanza kunitafuta wakinisihi nisimwache mdogo wao bado ananihitaji kwa hasira nao niliwablock, kaka zake pia walianza izo habari nao pia nikawablock, wote nikawajibu kuwa sitoweza rudi kwa mdogo wao. Kama kawaida mwanamke anaonyesha tena hali ya kujuta mno, anaomba msamaha adi kero sasa, kila namba atakayoitumia kunitafuta sikujibu lolote zaidi niliiblock.

Kiukweli nimechoka na haya mapichapicha ninajuta tena kuingia kwenye mahusiano na huyu binti mwenye mtoto, dramer ni nyingi hasa za uyu baba mtoto pindi tukigombana, ni mjeuri, kuna wakati anayamiss yale maisha ya club japo nilimkataza akuna kwenda club na hakwenda, kuna tabia nyingi sana nilimbadilisha na tukaenda sawa, ata kuanza kuhudhuria nyumba za ibada.

SHIDA NI KWAMBA BABA YAKE MZAZI KANIPIGIA SIMU LEO, SIJAWAHI ONGEA NAE HUYU MZEE ZAIDI UWA NAMWONAGA TU KWA MBALI, ALIJITAMBULISHA LAKINI NIKAWA NIMESHAIFAHAMU SAUTI YAKE, MZEE ANANAMBIA BINTI YAO HAWAMWELEWI NI MNYONGE MNO, KULA HALI HAKUNA LOLOTE ANALOWEZA KUFANYA, WALIVYOJARIBU KUMBANA AMENITAJA MIMI NDO CHANZO, BABA ANANIOMBA NIYAMALIZE NA BINTI YAKE NA KWAMBA BINTI ANAONYESHA KUJUTIA SANA, MZEE ANANIOMBA MSAMAHA MIMI TENA!!! NA KUSEMA ANAFAHAMU KUWA YEYE AKUTAKIWA KUINGILIA LOLOTE KATIKA JAMBO HILI LAKINI ANANISIHI SANA NIYAMALIZE NA BINTIYE, AISEEEEEE!! MZEE KATIA HURUMA SANA NA NINAMHESHIMU SANA YULE MZEE DAAAH!!

SASA SIELEWI LA KUFANYA NA NILISHAISET AKILI YANGU KWAMBA SIMTAKI TENA UYU MWANAMKE, KWA HAYA ANAYOFANYA LEO VIPI KESHO NA KESHO KUTWA SI ATAZIDI KUJILENGESHA HIVIHIVI, MWISHO WA SIKU BABA MTOTO AMMEGE.

KWA SITUATION HII NAOMBENI USHAURI NIFANYE NINI?

Nawasilisha..........
Pole sana mkuu. Hivi sisi masingo mathaz tunakoseaga wapi? We get a bad reputation. Anyway ningekuwa wewe nisingemrudia huyo binti. It seems ndani yake bado ana utoto fulani hivi wakati tayari age-go. Na usiyumbishwe na baba mkwe maana vitimbi unavipitia wewe sio wao. Hawakutafuti sababu wanakujali wewe bali wameshaona shemeji uko vizuri wanataka kuzilalia neema 😀. All the best, you sound like a mature man, i’m sure you can handle this
 
Mipaka ya maisha(sheria) ni kitu kizuri sana..maake binadam bila kumuwekea mipaka ni kituko aisee..

Rumi ya kale kuliwahi zuka ka mtindo ka wanaume kufanya ngono na wanyama na wanawake kukanyagwa na baadhi ya wanyama, guess what next...aisee alipoingia costantine wakaweka sheria na ukikiuka tu u must be hang to death, kawaida ya binadam ni kutafuta uhuru ambao kwa kweli Hata hawauelewi
 
Wadau habari, poleni na majukumu.
Kilichonileta apa leo ni kuomba ushauri je nifanye nini juu ya hili,

Niliingia kwenye mahusiano na mwanamke mmoja ambaye alizalishwa na jamaa uko tunduma, mwanzo sikuwa naiona athari yoyote ya kuwa na mwanamke ambaye alizaa nikiamini kwamba sio wanawake wote waliozaa ni shida hasa likija suala la baby dady dramer, lililonipa nguvu zaidi ni pale baada ya mwanamke kunambia yeye alizalizaa tu na huyu mwanaume na hawezi kuwa na mahusiano yoyote ya kimapenzi na baba mtoto zaidi ya kumlea mtoto na ukizingatia uyu bwana ni mume wa mtu wa ndoa uko alipo na nilihakikisha hili.

Nimeishi pamoja na uyu mwanamke mwaka sasa, japo tangu mwanzo kulishatokea vitimbwi vingi sana mara kwa mara na nilivivumilia, ni mwanamke flani hivi ambaye alishapitia ujana mwingi sana, ninavyosema ujana namaanisha alishakuwa mwanamke wa kujirusha sana uko ma night club na kadhalika.

Mimi ni kijana mwenye kazi yangu nzuri tu, na kwa kipato changu nna uwezo wa kumtimizia kila hitaji atakalo uyu mwanamke na sio yeye tu hadi uyu mtoto wake ambaye c wangu, namlea mtoto wa mwanaume mwenzangu bila kinyongo ' msinilaumu kwa hili ni kwa upendo tu '.

Sasa shida iliyopo ni hivi,, kila nikizinguana na uyu mwanamke ata liwe jambo dogo tu na hata kama alinikosea yeye then kiume tu nika react kuonyesha kutopendezewa na hilo jambo alilofanya, basi siku hiyo baba mtoto atatafutwa kwa speed zotee, ataitwa dady nikutumie picha za mwanao umwone, dady tutumie pesa za matumizi tumeishiwa, dady iv dady vile..

Hali hii hutokea mara kwa mara kwa huyu binti, kuna nyakati nilichoshwa na huu mtindo wake 'inakera' na nilimuuliza so why kila tukiwa hatupo sawa unamtafuta uyu mtu alinijibu kuwa ata yeye haelewi ni nini huwa kinampata kufanya hivi, lakini ilijirudia hivyo zaidi ya mara 3 hata baada ya kumuuliza tayari na kunijibu kuwa ata yeye haelewi lakini siku zingine alirudia kufanya hivyo.

Ikafika wakati nilichoka, nikamwambia tu kuwa siwezi tena kuwa pamoja nae kwa sababu alimweka baba mtoto kama tishio kwangu, tuliachana kwa ghadhabu sana na kila maneno ya kumkatisha tamaa niliyanena kwake, lakini hakutaka kukubaliana na hili, nilimblock kila kona ya mawasiliano baina yetu, lakini alionyesha kujutia hili na kuni ahidi kuwa awezi rudia tena kufanya hivyo, wakati huo alinifuata adi ofisini bila uwoga wowote alianza kulia na kutia huruma, wafanya kazi wenzangu waliliona hilo na kunishauri kuwa nimpe tu chance nyingine. Basi kwa sababu tumeumbiwa huruma nilimhurumia na kurudiana nae.

Mwanamke ni mzuri tena bado ni mdogo tu, ajachakaa kiivo, nimemzidi karibu miaka 10

Sasa juzi kati tena apa umetokea ugomvi kati yetu mkubwa tu, alicharuka tu ghafla akinambia kuwa anahitaji niende nyumbani kwao nikaonekane ili nimchukue official kwenda kuishi nae, mimi nilimjibu kwamba asubiri asiwe na haraka, basi kujibu kuwa asiwe na haraka ikawa kosa, usiku huo baba mtoto katafutwa, dady mambo, jamaa kajibu poa, dady mimi nimechoka kukaa apa nataka kuondoka kama vipi tuje uko ulipo nitafutie mishe ya kufanya uko mimi apa nimechoka kuishi, au basi nipe pesa ya mtaji nianze biashara uko mbali na apa ' Aisee iliniuma sana na kujiuliza kapata wapi huu ujasiri tena wa kumweleza haya yote uyu bwana '

Mimi ni Afisa Katika Kampuni flani ya mawasilino, hivyo nimetrack simu yake huyu binti kila afanyalo katika simu yake naona, ule usiku alimtafuta sana jamaa ad kujaribu mara nyingi kumpigia lakini jamaa hakupokea simu, zaidi jamaa alimwandikia sms kuwa mbona unanieleza haya yote na hali nimesikia yupo mwanaume uko anayekutunza kwa kila kitu na matumizi anatoa, lakini akajibu kwa kushangaa kuwa hakuna mwanaume yeyote anayefanya chochote juu yake 'alinikana kwa jamaa ' , alinipigia simu nikapokea, nikamuuliza umefanya nini, akanijibu kuwa ajafanya kitu, nikamuuliza umewasiliana na nani na hayo yote uliyomweleza, akanijibu kuwa yeye amechoka kwa sababu nimegoma kujionyesha nyumbani kwao ili tukaishi pamoja, nikamjibu sawa kwaheri.

Nikamblock then program nayoitumia kumtrack nikai remote ifute kila kitu kwenye simu yake, na kweli cm ikawa formated, nilifanya hvo ili asiwe na kumbukumbu zangu zozote kwenye simu yake, ili iwe rahisi kwake kunisahau.

Alinitafuta kwa namba nyingine na kunambia hayupo tayari nitoke kwake kwa sababu bado ananipenda na kunambia kwamba pia sitoweza kutoka kwenye maisha yake, kauli hii ilinitisha kidogo, nikamjibu sawa ila hesabu kwamba mimi sitoweza kurudi tena kwako, TUMEACHANA. Aliwaambia dada zake wakaanza kunitafuta wakinisihi nisimwache mdogo wao bado ananihitaji kwa hasira nao niliwablock, kaka zake pia walianza izo habari nao pia nikawablock, wote nikawajibu kuwa sitoweza rudi kwa mdogo wao. Kama kawaida mwanamke anaonyesha tena hali ya kujuta mno, anaomba msamaha adi kero sasa, kila namba atakayoitumia kunitafuta sikujibu lolote zaidi niliiblock.

Kiukweli nimechoka na haya mapichapicha ninajuta tena kuingia kwenye mahusiano na huyu binti mwenye mtoto, dramer ni nyingi hasa za uyu baba mtoto pindi tukigombana, ni mjeuri, kuna wakati anayamiss yale maisha ya club japo nilimkataza akuna kwenda club na hakwenda, kuna tabia nyingi sana nilimbadilisha na tukaenda sawa, ata kuanza kuhudhuria nyumba za ibada.

SHIDA NI KWAMBA BABA YAKE MZAZI KANIPIGIA SIMU LEO, SIJAWAHI ONGEA NAE HUYU MZEE ZAIDI UWA NAMWONAGA TU KWA MBALI, ALIJITAMBULISHA LAKINI NIKAWA NIMESHAIFAHAMU SAUTI YAKE, MZEE ANANAMBIA BINTI YAO HAWAMWELEWI NI MNYONGE MNO, KULA HALI HAKUNA LOLOTE ANALOWEZA KUFANYA, WALIVYOJARIBU KUMBANA AMENITAJA MIMI NDO CHANZO, BABA ANANIOMBA NIYAMALIZE NA BINTI YAKE NA KWAMBA BINTI ANAONYESHA KUJUTIA SANA, MZEE ANANIOMBA MSAMAHA MIMI TENA!!! NA KUSEMA ANAFAHAMU KUWA YEYE AKUTAKIWA KUINGILIA LOLOTE KATIKA JAMBO HILI LAKINI ANANISIHI SANA NIYAMALIZE NA BINTIYE, AISEEEEEE!! MZEE KATIA HURUMA SANA NA NINAMHESHIMU SANA YULE MZEE DAAAH!!

SASA SIELEWI LA KUFANYA NA NILISHAISET AKILI YANGU KWAMBA SIMTAKI TENA UYU MWANAMKE, KWA HAYA ANAYOFANYA LEO VIPI KESHO NA KESHO KUTWA SI ATAZIDI KUJILENGESHA HIVIHIVI, MWISHO WA SIKU BABA MTOTO AMMEGE.

KWA SITUATION HII NAOMBENI USHAURI NIFANYE NINI?

Nawasilisha..........
Binadamu sisi tunayatafuta sana matatzo kwa nguvu zote, kuna wakat matatzo yanakuwa yamejificha lakn sisi tunayalazimisha mpaka tuyapate, wakat mwingne tunatoa hadi hela kuyanunua halafu tukiyapata tunaanza kulalamika.

Uzuri ni kuwa umeshaona dalili zoote za kuwa mwanamke ni matatzo lakn bado unataka kutafuta kaupenyo ka pembeni kiyaruhusu yakupate.. Baba yake ni nini kwako?

Naamini ww ni mtu mzima hebu chekecha ubongo..
 
Kwanza pole kwa hayo madhila,ni wazi huyo mwanamke unampenda kwa kiasi fulani,ndio maana kila anapokutenda,akuomba radhi unakubali.Pili ni jambo jema sana kusamehe,huo ni uungwana.
Sasa naomba ujiulize maswali haya:
1.hivi huyo mwanamke ana uzuri upi ambao,kwa yote hayo anayokutenda,unasagau na unaruduana naye?
2.hivi kwani kwa hali uliyonayo,huwezi kupata mwanamke mwingine ambae mtaenda kwa kika kitu?
3.hivi wewe hutaki kuanzisha familia yako,ukazaa watoto na kujenga familia ya watu hata ukifa watakujumbuka milele?
 
Anachoshindwa kutambua Ndugu wa Huyo binti Wana taka jamaa aendelee kuwa na mahusiano na binti Yao kwa sababu wameona Kuna opportunity fulani hivi ya kiuchumi so kwa namna 1 au nyingine wanajua kuwa binti Yao atanufaika Hilo sio tatizo Kama binti Yao angekuwa anajitmbua lakini kwa matendo aliyonayo binti Yao Ni wazi kwamba Huyo binti hamfai huyu jamaa Yupo kwa huyu jamaa kwaajili ya maslahi zaidi nasio mapenzi
Wakati mwingine inawezekana hata ndugu wanaona afadhali kapatikana wa kututua huu mzigo....ghafla na mtua mzigo anataka kuyoyoma tena...
 
Huyu jamaa kahadithia kuhusu mimi kila kitu.... Broo... Hongera sana,... Hakuna tofauti namimi hapo broo... Ila sema bora wewe ulimkuta na mtoto... Kwa upande wangu mtoto kanikuta.... Afu mwanamke hataki kuniacha, familia yake yote haitaki nimuache... Broo kuna siku naliaga na kudhamini nimerogwa... Daaahhh umeniongelea yani kila kitu kama mimi vile
 
Pole lakn nnachoamin sa hv ni ule msemo, Uwezi fanikiwa kimaisha na hata kimapenzi kama huna roho ngumu.

Sent from my Pixel 2 XL using JamiiForums mobile app
 
Dah. yaani mwanaume mzima unalia kwa sababu Singo Maza.
Broo siwezi kukulaumu kwasababu hayajakukuta, Kiukweli hii kitu inakua Automatically na hata mimi siamini kama namganda yule mwanamke.... Broo hizi ishu za kupenda kaka zisikie tu kwa watu, ila usiombe zikukute... Yaani utajikuta unaona kahaba kabisa, na unajua kabisa huyu mtu ni kahaba wa kujiuza lakini hilo utaliona lakawaida sana... Broo, usicheke kama bado kijana,.. Na usiombe ukapenda kaka
 
Back
Top Bottom