Recent content by Ua4

  1. Ua4

    Naomba msaada kuhusu ushuru wa Gari.

    Habari za majukumu wakuu? Nahitaji msaada wa information. Kuna mzigo wangu nimeuagiza kutoka huko ugaibuni. Sema huu mzigo una utata kidogo. Sasa nilikuwa nahitaji kama ningepata afisa wa TRA anisaidie japo mawazo tu ili niokoke kwenye hili janga. Maana naona ni kama jumba bovu linataka...
  2. Ua4

    Ninunue mahindi au nilime kwa kumuagilia?

    Haya mkuu usisahau
  3. Ua4

    Ninunue mahindi au nilime kwa kumuagilia?

    Mi niko mwanza, mahidi kuyapata ni huko geita. Kwa sasa bado hajavuna ipasavyo, kwa hiyo ili ninunue inabidi nisubiri kidogo
  4. Ua4

    Ninunue mahindi au nilime kwa kumuagilia?

    Nisaidie mchanganuo wake, sijawahi kukiwazia kabisa ndugu yangu, labda unaweza kuwa msaada
  5. Ua4

    Natafuta patner tufanye kilimo cha umwagiliaji Morogoro

    Mkuu wewe uko maeneo gani? Na mashamba yanauzwa kuanzia shilling ngapi? Je kuna maji karibu tupate kumuagilia kama mvua zikigoma? Ninahitaji sana.
  6. Ua4

    Ninunue mahindi au nilime kwa kumuagilia?

    Habarini wakuu! Nimekuwa nikitafuta tafuta vipesa kwa muda mrefu, ila nimebahatika kupata kama milioni 5. Napenda kuwekeza kwenye chakula hasa mahindi. Tatizo ninalopata ni kuwa nimepata vipesa hivi wakati msimu wa kulima mahindi kwa mvua umepita! Nimekuwa nikiwaza waza sana, nikawa natamani...
  7. Ua4

    Waungwana ninamajanga naomba ushauri wenu

    Kwa Mungu asiefanya kazi hali. Hizo habari za kuchawia watu unapata pesa kirahisi rahisi hamna. Kula kwa jasho dear!
  8. Ua4

    Waungwana ninamajanga naomba ushauri wenu

    Ukienda kwa Mungu mkeo hatakuwa na jini tena na biashara yako itaenda sawia, japo utahitaji kuongeza nguvu kidogo katika utafutaji.
  9. Ua4

    Nishaurini, upendo upo kwa jamaa wa zamani ila jamaa mpya anataka kunioa

    [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
  10. Ua4

    Nishaurini, upendo upo kwa jamaa wa zamani ila jamaa mpya anataka kunioa

    Nikiwa na miaka 20 hivi nilikutana na jamaa mmoja kwa mara ya kwanza nikasikia kitu cha tofauti ila sikujua kama ndio kupenda. Nikapenda kuwa muda wote karibu yake, jamaa akagundua nadhani ni kwa kuwa yeye alikuwa mkubwa nae akawa karibu yangu. Tukaanza mahusiano, japo jamaa ni mtulivu sana na...
  11. Ua4

    Polisi wanamhanya kibaka Scorpion anayechoma watu visu na kuwatoboa macho?

    Da mi nadhani hata wanawake wangepiga mayowe mpaka kieleweke! Ila wanaume wametulia tu wanaangalia lo!
  12. Ua4

    Dear future wife...

    Sijui ndio mimi, du!
  13. Ua4

    Jinsi ya kumlinda mumeo

    Usimavyo labda ni kweli mkuu, sidhani kama ni uchafu au kutopikiwa vizuri au kukalipiwa kunawafanya wanaume watoke nje ya mahusiano yao. Wapo wanawake wanafanya hayo yote hata si kwasababu ana mme ndani bali kwa kuwa anaona ni vyema kuishi mazingira safi na kula vitu vilivyopikwa vizuri na...
  14. Ua4

    Je, unamfahamu Rashid Ally Meri?

    Du! Tumetoka mbali.
  15. Ua4

    Mrejesho: Mimi na mke wangu tumezika tofauti zetu, lakini mdogo wake hataki kuondoka kwangu

    Hapana jamani mleta mada atakiwa hana akili vizuri, na huyo mkewe nae anatatizo. Hivi unajisikiaje unaamka eti unaenda kuhubiri kanisani harafu unarudi kumgegeda shemeji yako!!! Hao waumini nao watakuwa hawana macho.
Back
Top Bottom