Waungwana ninamajanga naomba ushauri wenu

Waungwana ninamajanga naomba ushauri wenu

Njoo kwa Yesu majini yote yanasalimu amri. Kama uko dar sema nikupe contact za Mtumishi wa Mungu.
 
Nimebahatika kuoa mke tukabahatika kupata watoto wawili mapacha wa kike na wakiume tunamiaka 10 ndani ya ndoa tatizo linalonisibu niliyumba katika biashara zangu kwakua Mimi nidalali wakuuza magari nilipoona biashara haziendi ikanibidi niende kwamganga kwakua biashara zetu maranyingi tunatunia ndumba

Nilipokwenda mganga kaangalia kwenye darubini yakee akaniambia tatizo lipo kwamkewangu Mke Wangu anajini mbaya ananizuilia biashara zangu akanitengenezea Dawa akanipa nikatumie namkewangu nilipofika nyumbani nikamueleza yote Mke alikataa kutumia zile Dawa nilipo mbana sana akaniambia jini analo ila nilakumsaidia yeye sio lakunidhuru Mimi .

Baada yahapo nilikaa kama miezi 3 nikaona hakuna mabadiluko nikaenda kwamganga mwengine nae akaniambia vilevile kua Mke ndio tatizo nikimwambia Mke Wangu twendekwamganga hataki mpaka sasa nimesha kwenda kwa waganga5 wote wanasema mkewangu ndio tatizo naombeni ushauri wenu je nimuache nioe mwengine au nifanye nini.
Siku ukiambiwa utoe mapacha wako utaelewa somo..,z
 
Katika hizo mara tano zote ulizoenda hukukumbuka kuwa kuna Mungu umrudie.
Achana na waganga mana mwisho wako na familia yako utakuwa mbaya.
Una uhakika gani kama hizo dawa sio za kumdhuru mkeo au ni target ya kutumika mkeo kukurudisha katika uchumi mzuri wakishetani.
Hama huko rudi kwa Mungu aliyekuumba na hutojutia kamwe.
 
Nini gari watu hata baiskeli hawanunuhawanunui wacha kumpa sifa huyo matunge upepo umebadilika dili zimepungua ni hali ya uchumi wacha kuweweseka
 
Yan unamuacha aliyekuumba unaenda kwa msaliti time will tell, hizo mambo za kwa waganga huwa hazidumu mkuu mrudie muumba wako mkuu!!!
 
Nimebahatika kuoa mke tukabahatika kupata watoto wawili mapacha wa kike na wakiume tunamiaka 10 ndani ya ndoa tatizo linalonisibu niliyumba katika biashara zangu kwakua Mimi nidalali wakuuza magari nilipoona biashara haziendi ikanibidi niende kwamganga kwakua biashara zetu maranyingi tunatunia ndumba

Nilipokwenda mganga kaangalia kwenye darubini yakee akaniambia tatizo lipo kwamkewangu Mke Wangu anajini mbaya ananizuilia biashara zangu akanitengenezea Dawa akanipa nikatumie namkewangu nilipofika nyumbani nikamueleza yote Mke alikataa kutumia zile Dawa nilipo mbana sana akaniambia jini analo ila nilakumsaidia yeye sio lakunidhuru Mimi .

Baada yahapo nilikaa kama miezi 3 nikaona hakuna mabadiluko nikaenda kwamganga mwengine nae akaniambia vilevile kua Mke ndio tatizo nikimwambia Mke Wangu twendekwamganga hataki mpaka sasa nimesha kwenda kwa waganga5 wote wanasema mkewangu ndio tatizo naombeni ushauri wenu je nimuache nioe mwengine au nifanye nini.
Mkuu waganga waongo, wazandiki, wafitin na wauaji hao watakuharibia ndoa yako cha muhimu kama kwel unamuamin Mungu achana na habar za waganga mrudie Mungu mshauri na mke wako aachane na majin na yy aongoke
 
Meseji yenyewe hii hapa chini

Babu Shikamoo? Nashukuru Sana Kwa Kazi Nzuri Ulionifanyia,kazini Nimerudishwa Na Madai Yangu Yote Nimelipwa,pia Biashara Ya Mke Wangu Imefunguka. Sina Cha Kukupa Ila Mungu Akubariki Sana. Leo Mchana Nitakutumia Unga Na Mchele. Mwambie Mohammed Jioni Wakachukue Pale Stendi Kwa Bakari, Ahsante Sana Babu
Matapeli hao
 
Mtegemee Mungu tu.maana amelaaniwa
mtu amtegemeae mwanadamu.mganga ni mwanadamu tu.mkimbilie Mungu utapona ndugu
 
Mkuu tupia namba za hao wanganga tuwaulize Ben yupo wapi..Maana alichokifanya Mbowe kwa kijana wa watu Mungu anamwona.. .
 
Back
Top Bottom