Natafuta patner tufanye kilimo cha umwagiliaji Morogoro

Natafuta MTU wa kuweza kushirikiana tuanzishe kilimo cha umwagiliaji ,hususani kilimo cha matunda Na mbogamboga nataka MTU ambaye yuko makini Na anafahamu kilimo ili tufanye kilimo chenye tija.
nipo interested napatikana 0767102102
 
Jamani yapo mashamba mazuri yanauzwa mvomero nyuma ya ofisi za DED watu wamezeeka kulima ni shida hata kusimamia yapo yaliyoendelzwa na yasiyo endelezwa bei zitatofaitiana palikuwa ranchi hivyo fertile sana.... 0783 656554
 
Karibu sana, naweza kuwa mwenyeji wako na shamba lipo njoo na mtaji na nguvu zako tu. Karibu Morogoro
Mkuu wewe uko maeneo gani? Na mashamba yanauzwa kuanzia shilling ngapi? Je kuna maji karibu tupate kumuagilia kama mvua zikigoma? Ninahitaji sana.
 
Mkuu wewe uko maeneo gani? Na mashamba yanauzwa kuanzia shilling ngapi? Je kuna maji karibu tupate kumuagilia kama mvua zikigoma? Ninahitaji sana.
Nipo maeneo ya tungi lkn kuna mashamba maeneo ya mkono wa mara kule jirani na gereza la Kingorwila kuna mto ngerengere
 
Mimi nina vifaa vya umwagiliaji vya heka saba full.
Generator .sprayer .na solar kwa ajili ya matumizi ya kawaida .
Nipo tayali wewe toa mchakato na mnyumbulisho wa contribution yako
Mkuu soo ntakutafuta naweka mambo sawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom