Recent content by tzbuddy

 1. tzbuddy

  Mbunge Ally Kessy: Road licence ihamishiwe kwenye mafuta(petrol & diesel)

  Naunga mkono hoja,hii hata wasio na magari watalipa maana itakuwa ndani ya nauli ya daladala,maana hata wao wanatumia barabara.
 2. tzbuddy

  Chumba kimoja cha kupanga needed

  Mtu mwenye chumba kimoja cha kupanga,kiwe na choo na bathroom ndani,security na parking.please inbox nikuunganishe na muhitaji. Preferable maeneo ni, Kijitonyama,mikocheni Victoria kinondoni,upanga. Mtu anayehitaji anakaa dodoma,Ila mara moja moja anakuja dar,ndio maana security ni muhimu mda...
 3. tzbuddy

  Chumba cha kupanga

  Mtu mwenye chumba kimoja cha kupanga,kiwe na choo na bathroom ndani,security na parking.please inbox nikuunganishe na muhitaji. Preferable maeneo ni, Kijitonyama,mikocheni Victoria kinondoni,upanga. Mtu anayehitaji anakaa dodoma,Ila mara moja moja anakuja dar,ndio maana security ni muhimu mda...
 4. tzbuddy

  Tracing Macbook apple

  Asanteni wadau nitakwenda kuwatembelea Hao watalaam wa Ips
 5. tzbuddy

  Tracing Macbook apple

  Mac address ni nini Ila nilisha isign na icloud email....
 6. tzbuddy

  Tracing Macbook apple

  Unaweza kunipa more info ya hiyo ofisi ili niweze kwenda
 7. tzbuddy

  Tracing Macbook apple

  Iko sign on
 8. tzbuddy

  Tracing Macbook apple

  Kama Kuna mtu ni mbaya wa IT,natoa ajira ya kuitafuta Macbook yangu ilioibiwa.Kama uko serious njoo Inbox
 9. tzbuddy

  Tracing Macbook apple

  Hello Wajameni, Kuna kibaka kaniibia Macbook yangu,kama Kuna mtu anaweza kuitrace ikapatikana,basi zawadi nono ipo,watu wa IT wachangamkie ajira hii.Come inbox
 10. tzbuddy

  Umeme Kigamboni ni cancer

  Hello wajameni! Kwa wanaoishi pande hizi za Kigamboni watakubaliana na mimi kuwa umeme huku ni Janga. Kwanza mdogo,then unakatika katika kama disco light,au ukatike masaa 18...,Tanzania ya viwanda wakati microwave haiwaki sijaelewa kabisa hii dhana.
 11. tzbuddy

  Road License

  Wana JF any magic trick,nadaiwa TRA road license ya gari la miaka 6 nyuma.Gari ilishapata ajali na kuuzwa spea long time.Any magic trick kupambana na hii shida.
 12. tzbuddy

  Umeme wa Kigamboni,Tanesco.

  Hello Wana JF, Pamoja na kushikwa Boss wetu wa JF,wote tupo pamoja nae. Sasa bana nimehamia huku Kigamboni Takribani miezi 11 sasa. Kero namba moja,licha ya umeme kukatika katika hovyo hovyo pia hata unapopatikana unakua mdogo sana.Yaani unawasha taa,feni tena sometimes linapunguza speed almost...
 13. tzbuddy

  2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

  Yaani ni Democrasia ya another level. Everything vipo live watu mnajijumlishia tu ukimzidi mwenzio hata kama kura bado zinaendelea kuhesabiwa, ikiwa umezidi nusu, unajitangaza mwenyewe na kutoa Victory speech. Je ni lini tutafika huko,tuachane na akina Jecha.?
 14. tzbuddy

  DStv yashusha bei za vifurushi, yajaza chaneli

  niko Compaq nimepunguziwa elfu 3,Mtu Yuko serious na Suti kali ananitangazia,Dstv yashusha bei...ungese huu
 15. tzbuddy

  Ardhi inauzwa kigamboni

  km ngapi toka barabara ya lami
Top Bottom