Ardhi inauzwa kigamboni

Ardhi inauzwa kigamboni

Joined
Oct 17, 2016
Posts
11
Reaction score
5
64ee6fd84ef44cc5e848b7344df9b1a9.jpg
 
km ngapi toka barabara ya lami
tzbuddy
mbona nimetoa maelezo yanajitosheleza, istoshe eneo lilipo sio mbali sana na machimbo ya mchanga lakini pia kuna kisima kama utakuwa ni mjenzi wa haraka within a two months umeshamaliza ujenzi
 
  • Thanks
Reactions: MC7
sisi madalali ndiyo tunawateja na baadhi ya wateja wetu hawana muda wa kuja kukagua so tunakagua na sisi tukikubali wao wanakuja kulipa , kama kina hati au offer please contact 0657 14 55 55
 
Hati zipo on processing zikitoka bei itapanda kiasi fulani kwasasa ni special offers.
Nimegomea madalali sababu wana sumbua wateja, for more information nimetoa mawasiliano yangu, kwani nafasi yangu ni jumamosi na jumapili, weekdays nakuwa ofisini lakini kwa weekend nakuwa site kwenye eneo husika kwani nami nina ujenzi kwakuwa eneo ni kubwa ndio maana nauza viwanja vilivyobakia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom