Recent content by TZboy

  1. TZboy

    Tanzania Kujeni Hapa... What are this? SGR update

    To be honest sijawahi kuona mtu mwenye natural personal hate na nchi ya Tanzania kama raia wa Kenya. Wao always wapo negative kwa kila hatua ya kimaendeleo inayopigwa na Tanzania. Vichwa vikubwa kumbe ndani hamna kitu. Misaada yenye masharti na rushwa iliyo kithiri vitawachanganya vichwa zaidi...
  2. TZboy

    Gwajima hana pua kubwa kama ile, hana macho kama yale. Siyo Gwajima yule

    Jumapili haingii kanisani. 😂😂😂
  3. TZboy

    Gwajima hana pua kubwa kama ile, hana macho kama yale. Siyo Gwajima yule

    Hata mimi ambaye simjui huyo mtu lakini baada ya kuangalia hizo video na kufananisha na zile za hadharani ukweli unabaki kuwa huyo ndie yule anayejiita askofu. Yaani Gwajima. Kidole hicho.
  4. TZboy

    ACACIA: Tumekula hasara bilioni 40 kwa wiki mbili baada ya kuzuia kupeleka mchanga nje. Tutawafidia?

    Use your brain. The contracts states clearly Mining and not exporting 'gold/copper concentrate. Ask yourself how do you calculate and collect tax from exported sand that is not mentioned in the initial contract.?
  5. TZboy

    Social Media reactions as President Magufuli sacks his Minister

    TZ we have a lot of developmental issues to sort out. Sticking to Makonda saga isnt taking us anywhere towards resolving our outstanding goals that we need to achieve. WHAT ARE THE ADVANTAGES AND DISADVANTAGES OF FIGHTING MAKONDA DOWN? JPM seen this from third angle. get back to work and think...
  6. TZboy

    Mange achoma moto kadi ya CCM live

    Cool man , where ya been MaN ?
  7. TZboy

    Naungana na Watanzania Wenzangu Kukemea kitendo cha kihuni kilichofanywa na Paul Makonda pale Clouds

    GuyZ have something constructive to think or waste energy talking about . otherwise y'all look like wankers .."THINK POSITIVE, THINK CONSTRUCTIVE" you heard it ' out of the horses' mouth. Get back to work if u have work to do for the TZ .
  8. TZboy

    Naungana na Watanzania Wenzangu Kukemea kitendo cha kihuni kilichofanywa na Paul Makonda pale Clouds

    Y'all could be wise to think and contribute how to combat the initial battle instead of unnecessarily creating another topic of less significance.
  9. TZboy

    Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Yaani Unapata F masomo yote Form IV, halafu unafaulu Form VI . Mh!!
  10. TZboy

    Mange achoma moto kadi ya CCM live

    She s a complete Crap.."the so called Mange"
  11. TZboy

    DODOMA: Mbowe azungumza na waandishi wa habari, asema Makonda hana mamlaka ya kumuita

    Sidhani kama RC alikurupuka tuu bila kuangalia kuwa ana sheria inayomsapoti . Kilichopo waliotajwa watii amri kwanza. mengine baadae.
  12. TZboy

    Hivi mitandao ile ya kuchat ipo tena?? Msaada jamani

    E bana DHW ipo tena . kama kuna member unamjua anataka kujiunga tena niambie mie nita mpeleka kwa admin halafu atakuwa added
  13. TZboy

    Introducing ESE Dictionary – “Kamusi”

    Good Work Nyasiro
Back
Top Bottom