Introducing ESE Dictionary – “Kamusi”

Introducing ESE Dictionary – “Kamusi”

Nimeidownload, ila ngoja nitumie nitatoa feedback!! hatua hii nakupa hongera sana!!
Naomba nitumie swali kutaka kujua zaidi, wewe muda na ufundi ujuzi wako uliotumika utalipwa je, endapo itakuwa free kudownload?

SP
Not everything is for sale, sometimes u just feel good helping people up.
 
Not everything is for sale, sometimes u just feel good helping people up.

I will not agree with you at all!!

Here the skills used worth a lot, than what you call help!! there no Help in technology, I hope this man knows how to be motivated and rewarded as well!!

With your argument since we open facebook, wechat, etc for free so the owners ares generous to help we users? kalaghabaho!!
SP
 
Up until that free time finds another payable thing to do and project dies out 🙂
Donation is sure way of project death mostly!

nilikuwa naangalia kitufe cha like, sijakiona, sijui kimejificha wapi............, likes20x, hebu jibu post yangu mkuu
 
I will not agree with you at all!!

Here the skills used worth a lot, than what you call help!! there no Help in technology, I hope this man knows how to be motivated and rewarded as well!!

With your argument since we open facebook, wechat, etc for free so the owners ares generous to help we users? kalaghabaho!!
SP
Really??, so wanaotengeneza linux ambazo ni completely free na watu wengi wanadownload from their websites, free of charge na hao utawaambia nn, nakumbuka ile ni OS sio sio software ndogo, mziki wake ni huge!, i believe kama Nyasiro angetaka kuuza angefanya hvyo, labda HE! should say, lakin sio ww.

umenifurahisha ulivyosema
there no Help in technology
, labda uanze kulipia kuingia kwenye jukwaa hili...
 
wickerman, Linux foundation ina backup ya Intel, et al ambao wanalipwa na Intel. Check ecosystem ya Linux utajua kama ingekuwa unavyodhani ingekuwa imekufa zamani mno!
 
Last edited by a moderator:
umenifurahisha ulivyosema , labda uanze kulipia kuingia kwenye jukwaa hili...[/QUOTE]

Mkuu, unajua mimi na wewe kuwa member hapa jf, kuna mfanya mmiliki kuingiza kipato? au wewe huchangii membership fee? kumbe hapa unapiga free? anyway that is direct income, can we think the indirect income, hope you can imagine?

Mkuu pamoja sana, ngoja tutumie hii kamusi tutoe mrejesho nyuma.
SP
 
wickerman, Linux foundation ina backup ya Intel, et al ambao wanalipwa na Intel. Check ecosystem ya Linux utajua kama ingekuwa unavyodhani ingekuwa imekufa zamani mno!
Yeah, nafahamu hilo, lakini hao intel wanao backup linux, wat do they get from it kama profit?, au ni hasara?

umenifurahisha ulivyosema , labda uanze kulipia kuingia kwenye jukwaa hili...

Mkuu, unajua mimi na wewe kuwa member hapa jf, kuna mfanya mmiliki kuingiza kipato? au wewe huchangii membership fee? kumbe hapa unapiga free? anyway that is direct income, can we think the indirect income, hope you can imagine?

Mkuu pamoja sana, ngoja tutumie hii kamusi tutoe mrejesho nyuma.
SP
yeah, najua kwamba kuingia kwangu mm JF kunawapa baadhi hela, kuna matangazo wanarusha, ofcourse yanahitajika kuonekana na watu

lakini from my POV, hili swala linategemeana na mtu, kuna developers wengi tu they create stuff and give to the world for free na kuna ambao wanataka malipo.
 
Yeah, nafahamu hilo, lakini hao intel wanao backup linux, wat do they get from it kama profit?, au ni hasara?.
They Sell Machines: CPUs, GPUs et al Running Linux, especially servers.
Nothing in this universe is free. Someone have to pay the price!
 
Hongereni sana wakuu. Mimi shida yangu hasa ni medical terms, je zipo za kutosha humo? kama hapana, nani anaweza kunipa medical dictionary hata kama ni kiingereza kitupu?. Thanks in advance
 
Mwl.RCT, C++, Smartbrain samahani kidogo kuna vitu nlikua navimalizia hapa ndo maana link haipo active.
C++ itapatikana Softpedia muda sio mrefu nimeshai-submit.

Ntaweka link hapa muda sio mrefu.
  • Thanks nimefanikiwa kudownload ,any bug nikikutana nayo nitakujulisha. Hongera kwa kazi nzuli
07hk.png
 
kuna sababu nyingi tu za kutoa kazi yako bure. mimi najua Nyasiro anafanya kama hobbie so hatakuwa responsible kwa damage ya device ya mtu. au ubora usiotarajiwa. ila part ya software yake i mean database ya kamusi sio yeye aliyeandika. kwaiyo kama atauza haitakuwa fair kula hela peke ake.

jambo kubwa ni donation kama utaguswa na kazi za kijana huyu na utapenda kumsapoti ni kudonate kiasi unachoona unaweza si haba jamaa atapata motivation kuwa kazi yake inakubalika.

mie atleast nimefurahi kuona kitu kama oxford dictionary ila eng-swa-eng maana ile ya tuki mambo ya kufungulia kwenye browser inakuwa haina mashiko saana.

all in all goo job Nyasiro tuko pamoja all the time
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nyasiro, nimeichek, and its so awesome, nice interface, nimetoa suggestion kwenye hii video:

https://www.dropbox.com/sh/whldqpxy9465k6v/mjXxmyRhRf#lh:null-capture-3.flv

Nimeshindwa kuiweka hapa, so had to use dropbox
wickerman asante kwa kuripoti hili tatizo lakini nimeshindwa kuli-reproduce. Kama kuna mtu mwingine anakumbana na tatizo kama hili naomba aliaweke hapa na aeleze linatokea wapi. Kama unakumbana na tatizo lolote lingine au ungependa features mpya usisite kuweka mchango wako hapa: Hosanna HigherTech Forums - ESE Dictionary

Ntafanyia kazi mawazo yako.
 
Last edited by a moderator:
Nimeidownload, ila ngoja nitumie nitatoa feedback!! hatua hii nakupa hongera sana!!
Naomba nitumie swali kutaka kujua zaidi, wewe muda na ufundi ujuzi wako uliotumika utalipwa je, endapo itakuwa free kudownload?

SP

Kuna sababu zimenifanya nisite kuuza hii kamusi. Lakini sababu kubwa kabisa ni DATABASE mimi sijaongeza wala kupunguza chochote katika hii database yenye ROWS zaidi ya 60,000 na COLUMS 24. Sijatoa maana hata moja ila nilichofanya ni kuweka urahisi wa kutumia database hii kwa kutumia SQLite na programming tools nyingine. Kwa hiyo haitakuwa sawa kwa mimi kuuza hii program bila ruhusa ya wahusika (kamusi project).

Lakini kwenye upande wa mimi kufaidika ni kwa kutegemea michango kutoka kwenu angalia kwenye program kuna kipengele cha donation hapo unaweza kunisaidia niendelee kufanya kazi hii ambayo nimejitolea.
 
kuna sababu nyingi tu za kutoa kazi yako bure. mimi najua Nyasiro anafanya kama hobbie so hatakuwa responsible kwa damage ya device ya mtu. au ubora usiotarajiwa. ila part ya software yake i mean database ya kamusi sio yeye aliyeandika. kwaiyo kama atauza haitakuwa fair kula hela peke ake.

jambo kubwa ni donation kama utaguswa na kazi za kijana huyu na utapenda kumsapoti ni kudonate kiasi unachoona unaweza si haba jamaa atapata motivation kuwa kazi yake inakubalika.

mie atleast nimefurahi kuona kitu kama oxford dictionary ila eng-swa-eng maana ile ya tuki mambo ya kufungulia kwenye browser inakuwa haina mashiko saana.

all in all goo job Nyasiro tuko pamoja all the time

:smiling:

It is awesome brother. Thank you very much.

:smiling: You are welcome!

  • Thanks nimefanikiwa kudownload ,any bug nikikutana nayo nitakujulisha. Hongera kwa kazi nzuli
07hk.png

Karibu. Nasubiri feedback kutoka kwako.

Hongereni sana wakuu. Mimi shida yangu hasa ni medical terms, je zipo za kutosha humo? kama hapana, nani anaweza kunipa medical dictionary hata kama ni kiingereza kitupu?. Thanks in advance

sina hakika kama yatakuwemo sana ila unaweza kuangalia.

Not everything is for sale, sometimes u just feel good helping people up.

:smiling:
 
I downloaded It, Iko poa sana. Ila wacha niwe kama Steven Jobs, function naona ziko sawa kote, ishu inabaki kwenye muonekano na mpangilio wa content.

Kwa sasa muonekano uko basic, naamini katika version inayofuata walau utarekebisha mpangilio wa content, mfano mzuri ni page ya "Software Information"

Nitaandaa Mtazamo wangu katika picha na kukutumia kwa email. Jinsi unavyoweza pangilia na kuweka mabadiliko yatayo leta mvuto zaidi.

Big up Nyasiro
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom