Hivi mitandao ile ya kuchat ipo tena?? Msaada jamani

Mchaga 25

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
464
114
Leo nina hamu yakuchat nimekumbuka dar chat, darhotwire, kenyaniyetu.com arghhhh hivi mitandao hii ipo au ya aina hii jamani??
 
oi Kenya ni yetu nadhani ndio iliyoanza kufa, hapo kwenye red me hapo huwa nachungulia mara nyingi hakuna watu wanaochat so naingia chatzone trivia chat kuchemsha Bongo... jambochat nilimuuliza ggenius kuhusu main server iliyokuwa inabeba jambochat network akasema watu walipungua kufungua website yao wakaishut down but soon itafunguliwa upya.

Hizo chat zilidoda baada ya sheria kuwa nyingi na watu kupigwa ban kila kukicha zikafa kibudu... Mchaga ulikuwa unatumia nick gani oi..
 
E bana DHW ipo tena . kama kuna member unamjua anataka kujiunga tena niambie mie nita mpeleka kwa admin halafu atakuwa added
 
Hahahaaa.... Mkuu kama ulikuwako marafiki.com nahisi tushawahi kugongana huko, make nilikuwa active member enzi hizo!!

Ha ha haaa!!! Nimekuwa member kwenye marafiki.com for as along as I can remember so inawezekana tumeshawahi kugongana.
 
Back
Top Bottom