Recent content by Tz13

  1. Tz13

    JamiiForums Tanzania Tuache Unafiki: Bashe alichukua hatua sahihi kumaliza tatizo la sukari. Hongera Dr. Tulia kwa kumlinda na kulinda maslahi ya nchi

    Ataeshindwa kucmama na bashe cyo mtanzania halisi ajuae shda halisa zakitanzania leo tar23/jun Mtwara sukari ya kirombero kg 25 wanauza 70500 na kg 20 wanauza 59500 wakat bei ya rejareja irshafkia 2600
  2. Tz13

    JamiiForums Tanzania Wapi napata mtama kwa bei rahisi kanda ya ziwa?

    Tan 6 nnao bei 700
  3. Tz13

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la wadada wanaotoboa pua

    Ugonjwa wangu wife amekataa kutoboa nimetafuta mchepuko mwenye kipini roho imeturia
  4. Tz13

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Operation OKOA YANGA Sehemu ya kwanza 1

    Bro itakua cku iz ule mchongo wa jezi aupigi!
  5. Tz13

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kosa wanalolifanya wanaume wengi sana kwa wake zao

    Kugeuzwa amekua samaki
  6. Tz13

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, aliyefungwa Mechi mbili tu na ambaye hajafungwa bado, ila katoka Sare tano nani ameharibu mno Kimsimamo

    Angalieni uwiano wa mechi na mkumbuke simba ajacheza na Namungo ambae ayuko kwenye hari mzuri kwenye msimamo wa ligi awez kukubari kupoteza kirahis na Azam pia ana kocha mpya anataka aiweke timu kwenye ushindani kwaio izoh mechi zoote cyo rahisi kama wanavyodhani mashabiki wengi wa simba
  7. Tz13

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi ‘style’ ya kushangilia goli inayokuvutia kwenye soka?

    Kigeregere cha tuisila kisinda kwenye kibendera
  8. Tz13

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kusikia mbilikimo kafariki

    Mada zingine zinazidi Umama mtatufanya tuombe dua tausi yule wa bongo movie afe ili we uone!
  9. Tz13

    JamiiForums Tanzania Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

    Kama atuna pesa hawa wasanii wa bongo freva na bongo movie sio wakuwaoa tuishie tu kuwaita ndugu ze2 na dada zetu nakumbuka ya Shamsha Ford pia, kiubwege ubwege tu mnaweza jikuta mnaharibiana maisha.
  10. Tz13

    JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi Harmonize unapotea

    Kwenye Maisha Ivyo V2 Vyoote Vipo Kupanda Na Kushuka Kwa views Kwa Harmonize Kulinganisha Na Zuchu Haina Maana Zuchu Ndo Akawa Msanii Mkubwa Kuriko Harmonize Ila Hapo Ni Chuki Na Kasumba Tu Ilyoingia. Kama Unaweza Kumshauri Basi Mshauri Uyo Zuchu Atoke Wcb Muone Kama Ntapata Views Ata 6
  11. Tz13

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Taifa la Tanzania liko mikononi mwa Kanisa

    Masheikh wa kwe2 kilwa kule inabd wamtumie jini awe anamuingilia labda atakua na adabu
  12. Tz13

    JamiiForums Tanzania Wakili maarufu Arusha Matatani kwa kuendesha Dangulo la Ngono .

    Ramadhan si inaisha hii labda ncmkute Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Tz13

    JamiiForums Tanzania Ni aina gani ya maswali ambayo siyo busara kuuliza ovyo ovyo?

    Iv mzee bado yupo? ( Akimaanisha baba ako bado mzima tu ) Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Tz13

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna sabuni zinazoongeza hamu ya kuoga?

    Tumia upupu mkuu alaf utakuja kunipa mrejesho Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom