Sijawahi kusikia mbilikimo kafariki

Sijawahi kusikia mbilikimo kafariki

Uongo,,hao mbilikimo ndio hula watu...ninaishi na Jamaa mkongo ambae kufika kwao lazima upite kijiji cha hawa mbilikimo huko Congo wanaitwa wambote achana nao hawa Jamaa kwa ukorofi na uchawi...unaambiwa wanatekaga treni wanafanya fujo.
Eh🥺
 
Walikuwa wanakula watu zamani sio sasa hivi...sasa hivi hapana ni uchawi na ukorofi
Ok Ila treni wanatekaje na ufupi ule I mean wanalidandiaje like dubwana likiwa kwenye Kasi? Au wanavizia likiwa limesimama kituoni? Na je wakishateka wanaiba mali au nini hasa Nia ya huo utekaji?
 
Uongo,,hao mbilikimo ndio hula watu...ninaishi na Jamaa mkongo ambae kufika kwao lazima upite kijiji cha hawa mbilikimo huko Congo wanaitwa wambote achana nao hawa Jamaa kwa ukorofi na uchawi...unaambiwa wanatekaga treni wanafanya fujo.
Uwongo wangu ni upi? Provide your supporting documents and I will do the same
 
Wakuu kwema?
Kama nitakuwa nakosea,naomba mnisamehe in advance.
Kiukwel sijawahi kuhudhuria au kuskia msiba wa mbilikimo.
Hivi huwa wanakufa,na kama wanakufa huwa wanazikwa kawaida kama binadamu wengine au?
hawafi mkuu, vipi na wewe ni mbilikimo?
 
Wanakufa kama kawaida....uliza watu walioishi kasulu miaka ya 2000 huko kuna mbilikimo aliyeikuwa akiitwa TOMA alikuwa mtoza ushuru au mtangaza matangazo ya serikali na zile spika za kuongelea mdomoni....Jamaa alifariki kwa ugonjwa kama binadamu Wa kawaida na akazikwa,hao ni binadamu kama sisi tu.
Huyu siyo Zakayo aliyemualika bwana Yesu?
 
Mada zingine zinazidi Umama mtatufanya tuombe dua tausi yule wa bongo movie afe ili we uone!
 
Uongo,,hao mbilikimo ndio hula watu...ninaishi na Jamaa mkongo ambae kufika kwao lazima upite kijiji cha hawa mbilikimo huko Congo wanaitwa wambote achana nao hawa Jamaa kwa ukorofi na uchawi...unaambiwa wanatekaga treni wanafanya fujo.
Mtama Mwidiwe!
 
Back
Top Bottom