Recent content by Tz Asilia

  1. T

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ni muungano wa viongozi na si wa Wananchi. naunga mkono hoja.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Vyuo Vikuu Tanzania Hawawazi zaidi ya Boom?

    Wanafunzi Vyuo Vikuu Tanzania Hawawazi zaidi ya Boom? imekuwa ni jambo la kawaida kusikia na kuona kwenye vyombo vya habari wananafunzi vyuo vikuu tanzania wakigoma, mandamano kisa Boom halijatema,leo UDSM,kesho UDOM, keshokutwa TUMAINI,mara IFM sina maana kwamba wasomi wetu wasidai haki zao ila...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Rostam, Lowassa wakatwa miguu

    ndugu wakigombana............................................!
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kuondolewa kwa Lowassa, Chenge na RA - CCM na hatima yake na yao

    Naunga mkono hoja.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kuondolewa kwa Lowassa, Chenge na RA - CCM na hatima yake na yao

    Ukweli Lowassa komaa mwanangu! Kamwaga mboga mwaga ugali, la sivyo omba hifadhi ya kisiasa nchi nyingine kwani kifuatayo itakuwa mbaya kwako.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mbowe zungunga nchi nzima lakini sahau uwaziri mkuu !

    Yuo needs extra prayers!
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti mheshimiwa rais dr.kikwete maji yapo shingoni!

    Lakuvunda halina hubani!
  8. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Hi there! ni bora Lawassa anayeiba na kukutekelezea unachohitaji kutekelezewa, kuliko wa kulia lia tu, na kutokuwa na final say!
  9. T

    JamiiForums Tanzania Sitta: Nilitemwa uspika kwa hila za vigogo

    Sitta mnafiki, anatafuta popularity tu, hana lolote, wote mafisidi.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Naye ni Mtanzania , ana haki ya Kikatiba kufikiria, kuwaza, mpango wake mwenye bila kuingiliwa na mtu yoyote yule, kwahiyo ni urais tusubiri then tutapata ya kusema, please tuacha speculation.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    ukweli wa Mungu siamini kama wasomi wetu wamefikia hatua ya kujisalilisha kitaaluma. Ila nilishasema Dodoma ni chuo mojawapo inaendesha kisiasa hapa nchini. Nawaomba tuwasamehe bure.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Huyu Mama Spika anamtisha nani na hizo kanuni zake...?

    Uoga ila hakuna namna, ni bora tu akubaliane na situation.
  13. T

    JamiiForums Tanzania "tort"

    May it pleases you, Is it Law of Tort or Law of Torts? please your support!
  14. T

    JamiiForums Tanzania Orodha ya vyuo vya elimu ya juu vinavyoongozwa kisiasa ni zipi?

    1 University of Dodoma 2 University of Dar es salaam 3 .................................... 4.....................................
  15. T

    JamiiForums Tanzania Bibi Mahakamani No.2

    Bibi akate rufaa, uwenda akashinda kesi kutokana material fact ya kasi yenyewe pia na medula oblingata ya bibi ipo insane.
Back
Top Bottom