Mwenyekiti mheshimiwa rais dr.kikwete maji yapo shingoni!

malkiory

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
270
24
Kitendo cha Kikwete kuishambulia Chadema kinaonesha ni kwa jinsi gani rais alivyozidiwa kisera/ujanja na Chadema, hivyo kubakia kujihami (defensive mechanism) kwa kile ambacho kinaweza kumtokea kama ilivyokwisha kutokea kule Egypt na Tunisia. Hotuba yake dhidi ya Chadema ni nyepesi mno na ni dalili tosha kuwa sasa rais huyo mwenye title nyingi, maji yapo shingoni na kwa mtizamo wangu nchi sasa inaongozwa na Chadema indirectly.
 
IT IS THE SAYING OF THE WISE 'IF YOU CAN NOT STAND THE HEAT, GET OUT OF THE KITCHEN' NOW BECOMES TRUE.

If you do good, people will definetely remember, we rember the past the original JK for his dedication to make sure that all Tanzanians are relatively equal, but now it is the opposite.

original JK was a person of INTEGRITY even the those had riches new, nobody would dare to put the government in his 'poket' during the original JK's era, such a person would be rocked up! but today the rich are going for politics to defend their 'illegal businesses'

I know Tanzanians today, know everything, one may choose to adress them even every week, but if the the leaders would not 'WALK THE TALK' they will go for the peaceful demonstration to make their voice heard. I dont think if CHADEMA can fool Tanzanians to that level of making them hooligans joining the unprofitable demonstration, THE DIFFERENCE IS CLEAR, let's be realistic becaue we are WISE ENOUGH TO BE SIMPLY FOOLED BY CHADEMA, people see how they need a different standard of leadership.

,IF ONE CAN NOT STAND THE HEAT, IT IS BETTER TO GET OUT OF THE KITCHEN!!!
 
Dr.Dr.Dr. Kikwete asiyeweza hata kupambanua mambo na kuongea mambo ya maana kwetu. Kutawala hawezi hata kutudanganya sasa anaelekea kushindwa!
 
Sikia hii 'sitoweza kuyamaliza kwani hata kina Mwl, Ruksa na Njomba hawakuyamaliza' mbinu ya ajabu kabisa ya kuhalalisha kushindwa
 
Ni dhahiri shairi ahadi alizozitoa kwenye kampein amepimaaa! Kaona hatatekeleza hata moja ndo maana anaanza kujilinda mapemaa!
 
kama kiongozi wa nchi anatakiwa kukemea tabia zozote zinazoweza pelekea uvunjifu wa amani.
uchaguzi umeisha na sasa tujenge nchi.
 
Dr.Dr.Dr. Kikwete asiyeweza hata kupambanua mambo na kuongea mambo ya maana kwetu. Kutawala hawezi hata kutudanganya sasa anaelekea kushindwa!

Hakika uzalendo wa kuyaendea mambo imekuwa ni tatizo. wewe siunajiona unaweza hebu angalia unayoyaweza kwa siku yanayokuhusu mwenyewe ni mangapi.jipange kugombea uchaguzi ujao na sio kutumia uhuru ulionao kufanya vurugu.
 
Sikia hii 'sitoweza kuyamaliza kwani hata kina Mwl, Ruksa na Njomba hawakuyamaliza' mbinu ya ajabu kabisa ya kuhalalisha kushindwa

Sasa huyu keshakubali kushidwa kabla ya hata kipindi kwisha, ni kwanini basi asipishe wanaoweza kuliko kukaa na kutupotezea miaka minne na ushee bure, kwanini anang'ang'ania wakati mwenye kakiri hadharani kuwa hawezi kumaliza shida za watanzania ni maslahi gani binafsi yanayo mfanya asing'atuke?
 
kama kiongozi wa nchi anatakiwa kukemea tabia zozote zinazoweza pelekea uvunjifu wa amani.
uchaguzi umeisha na sasa tujenge nchi.

Utajenga wenzako wanabomoa, halafu unaambiwa hawakamatiki, ukiwatakama nchi itatikisika.....
 
Unajua mungu alikuwa mjanja sana ndiyo maana hakutoa jicho moja wakati anaumba binadamu,alitaka uelewe macho yako ynategemeana na usipoona kwa jicho moja ona kwa mawili,pia alitoa mdomo mmoja ili watu wenye maneno mengi wasiongee huku wakiiimba.rais amewekwa hapo na katiba hii ambayo imewapa chadema viti vingi bungeni,ndiyo kiongozi wa taifa kwa mujibu wa katiba yetu ya sasa,raisi analo jukumu la kutoa tahadhali kwenu mnaodhani ni nyinyi pekee wenye haki na uwezo wa kuongoza,inapotokea chama kilichoshindwa kiaanza kutangaza vita nani kakwambia vyama vingine vitakaa kimya chadema mkipindua nchi? Je asilimia 22% iliyokupa kura unazani inazidi asilimia 78% waliokunyima? Chama gani kinaongozwa na speculations? Tuwe makini nchi yetu haikumwaga damu wakati inadai uhuru kwa nini leo/
 
Asikudanganye mtu hakuna cha nchi kutikisika kama tungekuwa na raisi ninayemjua mimi huwezi kusema mvunja sheria ataogopwa.
 
kama kiongozi wa nchi anatakiwa kukemea tabia zozote zinazoweza pelekea uvunjifu wa amani.
uchaguzi umeisha na sasa tujenge nchi.

Wananchi wanajenga, mbona husemi mafisadi wanabomoa nchi?
Kikwete ana anza kuogopa wimbi la mabadiliko la Afrika kaskazini kuwa, CHADEMA wata take advantage kulitumia wimbi hilo kumtimua Mkwere Magogoni. Hofu imemjaa kwani utawala wake umekosa support toka kwa wananchi.

CDM komaeni tu mpaka apeleke vifaru mitaani!
 
... Tuwe makini nchi yetu haikumwaga damu wakati inadai uhuru kwa nini leo/

Mafisadi wakiendelea kutunyonya bila Rais kuchukua hatua, uzalendo utatushinda na hapo tutakubali kama noma na iwe noma ili tusiendelee kunyonywa!
 
Kitendo cha Kikwete kuishambulia Chadema kinaonesha ni kwa jinsi gani rais alivyozidiwa kisera/ujanja na Chadema, hivyo kubakia kujihami (defensive mechanism) kwa kile ambacho kinaweza kumtokea kama ilivyokwisha kutokea kule Egypt na Tunisia. Hotuba yake dhidi ya Chadema ni nyepesi mno na ni dalili tosha kuwa sasa rais huyo mwenye title nyingi, maji yapo shingoni na kwa mtizamo wangu nchi sasa inaongozwa na Chadema indirectly.

sure!!
 
Utajenga wenzako wanabomoa, halafu unaambiwa hawakamatiki, ukiwatakama nchi itatikisika.....
vyama vya siasa vinapotaka peleka nchi pabaya nadhani rais ana mamlaka ya kukemea hali hii.
asipo fanya hivyo tunarudi kwenye state of nature
 
Wananchi wanajenga, mbona husemi mafisadi wanabomoa nchi?
Kikwete ana anza kuogopa wimbi la mabadiliko la Afrika kaskazini kuwa, CHADEMA wata take advantage kulitumia wimbi hilo kumtimua Mkwere Magogoni. Hofu imemjaa kwani utawala wake umekosa support toka kwa wananchi.

CDM komaeni tu mpaka apeleke vifaru mitaani!
hii staili haitatupeleka pazuri.dhana nzima ya demokrasia itatoweka
 
Back
Top Bottom