Recent content by tyson.N

  1. T

    Wataalamu wa kutengeneza mashine

    samahani unavyosema kubungua unamaanisha kupukuchua yani kutenganisha mahind na mabuzi
  2. T

    Msaada wa scatter file ya vodafone vfd 301

    mkuu Times9 mm nilfanikiwa ku dump io file ya vfd301 kwa nck na preloader ilikuwepo lakini pia unaweza tumia miracle uka Read file as scatter na ukaichagua io preloader
  3. T

    Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    wadau nahitaji circuirts za tecno w3 na tecno c5 mwenye nazo tufanye biashara...
  4. T

    Msaada wa scatter file ya vodafone vfd 301

    m mkuu lililopo needrom ni la vfd 300 na co vfd 301
  5. T

    Msaada wa scatter file ya vodafone vfd 301

    mkuu solution ipo... mm niliformat nkatafuta file mtandaon nililikosa ila nilifanikiwa baada ya kufanya backup kutoka cm nyngne
  6. T

    Msaada tutani naitaji kuweka window 10kwenye hii PC, je itakubali?

    ingia ingia hapa uchague unayoitaka Index of /Windows 10/
  7. T

    Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

    mkuu box gan ina code calculator na kuna crack inaweza kukubali io feature
  8. T

    Kwa anayefahamu post code aniambie ni zipi

    post code zote za tanzania from tcra web izi apa https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/Full_Postcode.pdf
  9. T

    Msaada wa scatter file ya vodafone vfd 301

    mkuu bado ina stuck kwenye logo ya voda
  10. T

    Msaada wa scatter file ya vodafone vfd 301

    mkuu @kcamp nimeflash ila simu inastuck kwenye logo ya voda
  11. T

    Msaada wa scatter file ya vodafone vfd 301

    mkuu ili file linaitaji password msaada tafadhali
  12. T

    Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

    flash kwa kutumia files ili afu unipe mrejesho
  13. T

    Msaada: Box gani latest lenye uwezo wa kuflash simu aina nyingi?

    unaweza/ulishawai kutumia sp flash tool?
Back
Top Bottom