- Thread starter
- #41
Kaka Haji hata izi vdf 301 uki dump kwa NCK crack inamiss preloader, nmekwisha kujaribu sana but nothing, ila miracle ndio inaweza ku dump kwa jino moja/bin file na likafanya kazi....
mkuu Times9 mm nilfanikiwa ku dump io file ya vfd301 kwa nck na preloader ilikuwepo lakini pia unaweza tumia miracle uka Read file as scatter na ukaichagua io preloader