Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Tecno W3 pamoja na W4 zina huo ugonjwa wa kuzima ghafla, kuwaka pale zinapojickia au kuleta multi colours kwenye screen as if screen ni mbovu but same screen ukiweka kwenye cmu nyingine inapiga kazi vema tu... SOLUTION.. ukihangaika nayo hyo itakupotezea tu mida na real solution ni kubadilisha circuit ambapo inapatikana kwa elf50 k koo mpya kabisa au ukipitia kwa mafundi utaipata kwa bei pungufu kidogo au unaqeza kwenda tecno service centre na watakuuzia hyo kwa elfu80 na unaacha cmu kwa muda wa cku3 then watakujulisha
Ni kweli fundi wa mwisho aliniambia ninunue machine ya ndani kwa 50 ama 60 ila siku amini nikadhani kuna m'badala kwa programming:! Ila shukrani maana humu jf ni kisima cha fikra na solution ndio hiohio ya circut nta badilisha
 
3b1b000e9cd6ebd9352aded97c7d3c9b.jpg
 
Habari zenu mafundi, ninahitaji kubadili kioo cha iphon 7 plus white kwenda kwenye black.
 

Attachments

  • apple-iphone-7-plus-red-gallery-img-1.jpg
    apple-iphone-7-plus-red-gallery-img-1.jpg
    16.8 KB · Views: 96
  • Red-on-Black-iPhone-7-Plus.png
    Red-on-Black-iPhone-7-Plus.png
    62.4 KB · Views: 111
Habari zenu mafundi, ninahitaji kubadili kioo cha iphon 7 plus white kwenda kwenye black.
yaan kubadili rangi ya kioo au kioo chote na kwan kina shida gani hicho. Na bei ya kioo kama ndio unachotaka kubadili ushajarbu kuulzia bei yake au ndio tayar ushakpata unataka fundi wakukibadili?
 
yaan kubadili rangi ya kioo au kioo chote na kwan kina shida gani hicho. Na bei ya kioo kama ndio unachotaka kubadili ushajarbu kuulzia bei yake au ndio tayar ushakpata unataka fundi wakukibadili?

Hiki kioo hakina shida sema siipendi rangi nyeupe, napenda kioo cha rangi nyeusi. Unipe gharama ya kioo original 7 plus na fundi inakuwaje
 
31ffb801b389761db7443558c7b8413b.jpg




msaada wakuu io ic iliyo ungua nime kosa namba zake, cjui itakua inaitwaje..
ipo kwenye ka min woofer ka laptop
hakaaa apa

c65ca286ae1658953c64c1dedaacf5a3.jpg
 
Msaada jamani Nina simu kutoka USA lkn haisomi line za kwetu hapa nipeni maujanja namna ya Ku unlock. Simu ni Samsung on5
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom