Chacha95
JF-Expert Member
- Aug 4, 2016
- 212
- 172
Tafuta simu kama hiyo isiyo na tatizo ufanye backup mwenyewe, baada ya hapo flash userdata na cache pekee.
yah ii ndo solution but akisha pata sim kama hio aread firmwarekisha a flash tu kawaida hata asipo format data na cache itawaka