Alex mapunda
Member
- Apr 17, 2017
- 44
- 12
Kuna form nimeijaza online ila nikitaka ku submit ina goma hadi nijaze post code na sizifahamu kama kuna anayefahamu naomba msaada niko Dodoma
Postcode
Ni anuani ya makazi ya sehemu Fulani ambayo inawakilishwa kwa namba maalumu
Wanaotoa hizo namba ni TCRA
Mfano Angalia hii
51401
Ndio postcode ya sehemu husika
5.inawakilisha nchi Tanzania
1.mkoa
4.wilaya
0.kata
1.kijiji
Jumla zinakuwa namba tano
Niambie wewe Unatoka mkoa gani na wilaya na Kata gani nikutumie postcode yako Sasa hivi

Natoka dodoma wilaya ya dodoma kata ya IyumbuPostcode
Ni anuani ya makazi ya sehemu Fulani ambayo inawakilishwa kwa namba maalumu
Wanaotoa hizo namba ni TCRA
Mfano Angalia hii
51401
Ndio postcode ya sehemu husika
5.inawakilisha nchi Tanzania
1.mkoa
4.wilaya
0.kata
1.kijiji
Jumla zinakuwa namba tano
Niambie wewe Unatoka mkoa gani na wilaya na Kata gani nikutumie postcode yako Sasa hivi
UdomPostcode

Kuna form nime ijaza online ila nikitaka ku submit ina goma adi nijaze post code na sizifahamu kma kuna anae fahamu naomba msaada niko dodoma