Recent content by Twonyi

  1. T

    naombeni Advice jamani plz!

    MWANDUGU YEE CHUO KILICHOSAJILIWA AU KUPATA ITHIBATI HAKIRUHUSIWI KUENDESHA PROGRAMME ZA NJE BILA KUPEWA KIBALI NA NACTE BAADA YA KURIDHIA UBORA WA HIYO PROGRAMME HUKO INAKOTOKA NA UWEZO WA CHUO KUIENDESHA. USHAURI WANGU NI KWA MSOMAJI KUTOJIUNGA NA PROGRAMME AMBAYO HAJAJUA KAMA IMERUHUSIWA...
  2. T

    Contacts za chuo cha ustawi wa jamii dsm

    current email address is info@isw.ac.tz and website www.institutesocialwork.ac.tz
  3. T

    Contacts za chuo cha ustawi wa jamii dsm

    Tel: +255 22 2774443/2700918 Fax: +255 22 2701375 Email: nswti@costech.or.tz
  4. T

    Vyuo vikuu Tanzania: Kwanini customer care mbovu? Vinatoa Mfano gani?

    Wadau msemayo ni kweli kabisa, sijui meseji hii tuiweke wapi ili iweze kuwafikia hao ndugu zetu ambao kwa njia moja au nyingine ndo sura ya kwanza ya shirika/taasisi. Ukikutana na receptionist/ secretary anayejua customer care na akafanya kazi hiyo vizuri ndipo shirika linasikika vizuri. Kwa...
  5. T

    Vyuo halisi tanzania...... Angalizo la vyuo feki tanzania.

    Tuna kushukuru sana bwana Mbasamwoga kwa taarifa hii muhimu, ndugu zangu wanajamii Forum tuitumie hii ili tusipoteze muda na pesa zetu pia tuwasaidie wenzetu kuwajuza juu ya habari hii njema kwetu na kwa taifa letu.Thanks a lot
  6. T

    Habari ya mshtuko kuhusu NACTE?

    Jamani inategemea na kozi unayotaka kusoma, kuna zingine C3, 4, 5 nk.
  7. T

    Naomba kujuzwa kuhusu chuo hiki

    MODERN COMMERCIAL INSTITUTE hakijasajiliwa na NACTE
  8. T

    wauguzi tanzania muda wa masomo na mavazi

    Level 1 -3 zinaitwa National Vocational Awards (NVA) zinasimamiwa na VETA na Level 4 - 10 zinaitwa National Technical Awards (NTA) zinasimamiwa na NACTE
  9. T

    Jinsi ya kusajili chuo na NACTE

    Kuna form za kusajili chuo ambayo itatakiwa ujaze na uambatanishe vitu muhimu kama vile legal document ie, business license/ memorandum of understanding, chater, etc. pia mtaala wa kufundishia ambao umeidhinishwa na NACTE (Kabla ya kusajili chuo chako inakubidi uandae mtaala kwa mwongozo wa...
  10. T

    Ubora wa degree za UDOM na St Joseph

    Naona unaongea kwa hisia siyo uhalisia, kuna vigezo vya chuo kuruhusiwa kutoa mafunzo na kwa ngazi ya shahada kuna vigezo maalumu, ili chuo kiweze kuruhusiwa kutoa mafunzo kwa ngazi ya shahada/digrii ni lazima kitimize vigezo hivyo vilivyowekwa na NACTE na siyo vinginevyo ndiyo maana vyuo vingi...
  11. T

    Nauliza vipi kazi za udom..... Kimeeleweka kweli?

    Ndugu zanguni naomba niwaelezee kuhusu NTA Levels na NACTE. NTA ni kifupi cha neno National Technical Awards Kiswahili chake ni Tuzo za Elimu ya Ufundi, hizi ni tuzo za elimu ya ufundi nchini na NACTE ni kifupi cha neno The National Council for Technical Education kiswahili chake ni Baraza la...
Back
Top Bottom