Jinsi ya kusajili chuo na NACTE

Logo

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
588
48
Naombeni msaada nataka kufungua chuo cha media ngazi ya cheti, mkoani Mtwara je, nahitaji kuzingatia mambo gani? na itacost kiasi gani?
Asanteni
 
Kuna form za kusajili chuo ambayo itatakiwa ujaze na uambatanishe vitu muhimu kama vile legal document ie, business license/ memorandum of understanding, chater, etc. pia mtaala wa kufundishia ambao umeidhinishwa na NACTE (Kabla ya kusajili chuo chako inakubidi uandae mtaala kwa mwongozo wa NACTE kuna vitabu mbalimbali vinavtotoa mwongozo wa kuandaa mitaala vinapatikana NACTE), source of fund apart from students' fee, evidence of premises ie own/hired, qualified human resources ie walimu, institutional master plan etc. ambazo zimeeleza kwenye form kisha utaambatanisha na barua yako ya kuomba usajili then you send it to NACTE. kwa Maelezo zaidi tembelea www.nacte.go.tz
 
Back
Top Bottom