NGOSWE.120
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 219
- 233
Wakuu wana JF,
Kama mtakumbuka UDOM walitangaza nafasi za kazi za u-lecturer zaidi ya 100 mwishoni mwa mwezi may, 2011. Je kuna mtu yeyote ambaye aliomba hizo kazi na amepata feedback i.e kuitwa kwenye usaili n.k? au kama kuna mtu mwenye A B C yeyote ile kwa kile kinachoendelea naomba anifahamishe wakuu. Unaweza hata ukani-PM kama hutojali.
I am so curious to know what is going on!
Natanguliza shukrani wakuu!!