Ubora wa degree za UDOM na St Joseph

niliwahi kusema humu na nina rudia tena.. "chuo unachosoma sio ishu.... ishu ni akili kumkichwa...ziimoo.. kama wewe ni manafunzi fake ndio tatizo... tatizo sio chuo"...
kweli kabisa mkuu. Watu wengine humu kama mazuzu. Kila siku ooh chuo kipi bora kuliko kingine, ooh MBA ya wapi sijui imefanyaje. HEBU JIANGALIE JE WEWE NI BORA KULIKO WENGINE? usifagilie chuo ulichosoma wakati ulitoka na kiGPA chako cha mbili.Acheni upoyoyo na uzuzu.
 
Good! thats critical thinking and confidencial. So mtu unaponda tuuu alf hujui kinachoendelea.
 
Vyuo hivyo ndiyo kwanza vinaanza. huwezi kupanda mahindi leo na kuvuna siku hiyo hiyo. palilia, piga dawa, weka maji, mbolea etc halafu subiri mavuno.
 
Naona unaongea kwa hisia siyo uhalisia, kuna vigezo vya chuo kuruhusiwa kutoa mafunzo na kwa ngazi ya shahada kuna vigezo maalumu, ili chuo kiweze kuruhusiwa kutoa mafunzo kwa ngazi ya shahada/digrii ni lazima kitimize vigezo hivyo vilivyowekwa na NACTE na siyo vinginevyo ndiyo maana vyuo vingi vinatamani kutoa mafunzo hadi ngazi hiyo lakini hawatoi. so kauli yako inatia wasiwasi
 
tupe evidence juu ya taarifa ulizotoa,isije ikawa unatoa hisia zako juu ya UDOM.Is it true UDSM ndyo chuo pekee?usipotoshe umma.weka uchi takwa lako kiongozi.it is not the kind of great thinkers we want bhana.psychologically,it seems una attitude mbaya juu ya UDOM.fuatilia undani wa uliyo yasema na sio roporopo.
 
UDOM ni chuo cha vilaza hatasikumoja huwezi kuta mtu mwenye div one ya ukweli akapangwa UDOM.Kule wanaenda wajinga ili waje kuwa makada wa CCM Tu.st joseph napo wizi mtupu hamna chochote si lolote.Chuo chenye hadhi na heshima Tanzania Ni UDSM peke yake.Pia hata kwenye interview huwa wanafukuzwaga kama jibwa koko.

Kuwa anonymous hakumaanishi uandike chochote unachojisikia mkuu, tumia mshipa wako wa aibu. Fanya utafiti ujue kama hizo division one 'kali'(sijui ndio zipi hizo), zipo au hazipo pale.
 
Chuo ni chuo tu ilimradi kitambuliwe na NACTE, Ila ubora wa muhitimu ni juhudi yake mwenyewe lakini bado tutabakiwa na vyuo bora ambavyo siku zote asilimia kubwa watatoka wahitimu bora mfano UDSM, MUHIMBILI, IFM,MZUMBE nk.
 
kumbe ifm na mzumbe navyo ni vyuo bora mkuu,ubora wao uko kwenye nin vile?
 
vyuo hivi serikali inapotoka havina viwango tusiharakishe kwa kupata wasomi fake,St.joseph waalim fake last yr kulikuwa na doctorate moja tena kaondoka...nyingine ni principal hao wengine wahind wana masters za kuunga taarifa zilifika had kwa pinda ihakuna ufatiliaj..engineer alisoma EGM si utan,udom siasa wapi tunakwenda

Weewe ni mwongo sana, ST Joseph naheshimu sana ufundishaji wao coz they are too practical than theories, Kama kuna kitu hupendi kuhusu ST Joseph Sema tu ila uache kujizungusha.
 
UDOM ni chuo cha vilaza hatasikumoja huwezi kuta mtu mwenye div one ya ukweli akapangwa UDOM.Kule wanaenda wajinga ili waje kuwa makada wa CCM Tu.st joseph napo wizi mtupu hamna chochote si lolote.Chuo chenye hadhi na heshima Tanzania Ni UDSM peke yake.Pia hata kwenye interview huwa wanafukuzwaga kama jibwa koko.
acha upupu wewe! UDOM ZIPO DIV ONE NA TWO ZA UKWELI. Nina div 1.5 na niko udom utasemaje hapo? Na ukilaza unauonesha wewe hapa kwa jinsi unaropoka! Mentality za kijinga watu mmejazwa wala hamchambui mnachotaka kusema. Rethnk b4 u utter anythng dude! UDOM niijuayo mimi sio chuo cha vilaza ila wale watu wavivu wa kuwaza, wafata mkumbo, na wale wenye IQ below 30 ndio wanakiita cha vilaza!
 
huelew lipi?ni kwamba NACTE wamesajili st.joseph bila kufatilia ubora wao hata wakienda kukagua wana toa taarifa kabla ya kwenda,hakuna facilities za kutoa degree na mazingira mabovu..balaa ukifatilia elimu za walim wao wengi si nzuri..UDOM serikali wanaendesha kisiasa watu hawasomi vile inavyotakiwa
am a student at UDOM though we have shortage of teachers, tunasoma ipasavyo kwani hakuna ki2 nilishawahi kushindwa kusoma, all modules are covered on tym! Ni vigezo gani una2mia kusema degree ya UDOM haifai? Siasa ziko kila mahali na ni uchaguz wa m2 kujichanganya humo au lah! Na politics hazikuanzia UDOM anyway, hata udsm zipo na pia unatakiwa ujue u cant separate lyf with politics as lyf is politics and politics is lyf na pia ungekuwako humo ndani ya UDOM ujionee mwenyewe kuwa hzo politics (za vyama) ni za kidhaania zaidi kuliko uhalisia. Wanasema km hujafanya utafiti wa kutosha huna haki ya kusema kwani unaweza kupotosha watu na kuwa great thnker unatakiwa ufikirie kweli otherwise hutakuwa na tofauti na mpiga debe wa manzese! Kabla hujatema pumba zako uwaze bhana!
 
vyuo hivi serikali inapotoka havina viwango tusiharakishe kwa kupata wasomi fake,St.joseph waalim fake last yr kulikuwa na doctorate moja tena kaondoka...nyingine ni principal hao wengine wahind wana masters za kuunga taarifa zilifika had kwa pinda ihakuna ufatiliaj..engineer alisoma EGM si utan,udom siasa wapi tunakwenda
Unataka kuniambia UDOM siasa ni kama wakati ule Kivukoni chuo cha ukada wa TANU/CCM ?
 
Kuna watu mnapenda kupotosha watu alokwambia Udom haina watu wa Div one ni nan? hebu jiangalie wewe mi nimemaliza July hii hapo Udom most people wana Div 1 na 2,acha hisia mbaya juu ya hivi vyuo
 
Sidhani kama ni vibaya kwa kiwango hicho,ila vinahitaji kuboreshwa zaidi na chuo bora si UDSM pekee ila pia SUA.Kusema UDSM ni bora zaidi ni mtizamo usiokubali mabadiriko
MTAZAMO WANGU
 
Jamani as great thinkers we nid 2 think deeply b4 we say anythng,sisi wote ni magraduate tayari na wengine ni watarajiwa,kuanza kupondana kisa majina ya chuo c busara kabisa as u know"C VYOTE VING'AAVYO NI DHAHABU" pia "MUWAMBA NGOMA HUVUTIA KWAKE" sisi tunakaa miaka 3-5 vyuoni ha2na mda mwingi wa kudig deep kupata detail za vyuo vye2 ili 2anze kubishana coz 2likuwa busy na coarse work na shule kwa ujumla wake wangekuwa wahadhiri we2 wana hii debate nisingeshangaa pia sioni logic ya sisi kubishana as we know kila chuo kina mapungufu yake ila tusitumie mapungufu hayo kukiponda chuo husika hata HAVARD UNIVERSITY kinapondwa pamoja na kuwa cha zamani, maarufu duniani na kuna wataalam na viongozi wengi maarufu duniani wametokea hapo, chuo chako kiwe dar,moro,dom, mwnz, arusha, z'bar etc it doesnt matter vyote viko Tz let us argue wisely 2sije anza tukanana wakuu, lets embrace the factual challanges, embrace them n find means to change coz kukosoa peke yake haitoshi, shauri nini kifanyike 2songe mbele nawasilisha
 
waambie UDSM
 
Kama ni suala la siasa ni katika vyuo vyote vya Tanzania, hivyo si vema kufikiri kuwa siasa zipo UDOM pekee. Kila mmoja afanye utafiti wake ataligundua hili. Tanzania hii kila kona siasa, kuanzia kwenye familia hadi ngazi ya juu kabisa.
 
Kuna watu mnapenda kupotosha watu alokwambia Udom haina watu wa Div one ni nan? hebu jiangalie wewe mi nimemaliza July hii hapo Udom most people wana Div 1 na 2,acha hisia mbaya juu ya hivi vyuo

mko wa ngapi bwana??? mimi nilikua mwalimu wa hapo by now am finalizing my 3rd degree huku uk, nilikuwepo kwenye mchakato wa kuselect wanafunzi wale wa ile batch ya kwanza na ya pili, infact kuna ukweli mwingi kwamba asilimia kubwa ya wanaojiunga UDOM wana passmark za chini sana, wewe kama unasema una one na upo hapo mtakua ni wachache sana. asilimia kubwa ya wanafunzi wa hapo wanasoma school ya education, nenda kaangalie entry point zao. acheni ushabiki. chuo kitabaki kuwa kimoja tu.....vingine vina matatizo ya hapa na pale, idadi ya wanafunzi wa udom haina uwiano mzuri na walimu. ikumbukwe kuwa asilimia kubwa ya walimu ni washikaji tuliokua tumemaliza shule miaka 2 kabla ya kuanzishwa mpaka leo, so wengi wapo wanatafuta masters zao nchi mbalimbali na wengine pale mlimani.

itachukua mda sana kutokea chuo chenye hadhi kama mlimani kubali ukatae, waulizeni watu wa HR wa makampuni mbalimbali....
 
Back
Top Bottom