Naomba kujuzwa kuhusu chuo hiki

nyaunyau

Senior Member
Oct 28, 2009
132
26
Chuo kiitwacho MODERN COMMERCIAL INSTITUTE kipo mtaa wa nkruma clock tower kinajitangaza kwamba kimesajiliwa na NACTE kutoa mafunzo kwa ngazi ya Diploma kwenye tovuti yao nikiperuzi kwenye mtandao NACTE sioni kwenye list,kuna kijana wangu anasoma pale amelipa ada yao 1400000 Tshs kwa mwaka.naomba kwa anaye elewa kuhusu chuo hiki atujuze kwa faida ya wote.
 
cna uhakikaka sana ila hv vyuo ckuhz utapel mwngi sana km unauwezo nakushaur mlete mwanao st.joseph institute of it, ni chuo cha wahnd wanatoa dploma ya cmputer science kwa tsh m1.3 kpo ruvuma then elimu ya uhakika kuliko upoteze m1.4 then ujegundua imepotea bure, npo hapa nachukua bachelor.
 
Chuo kiitwacho MODERN COMMERCIAL INSTITUTE kipo mtaa wa nkruma clock tower kinajitangaza kwamba kimesajiliwa na NACTE kutoa mafunzo kwa ngazi ya Diploma kwenye tovuti yao nikiperuzi kwenye mtandao NACTE sioni kwenye list,kuna kijana wangu anasoma pale amelipa ada yao 1400000 Tshs kwa mwaka.naomba kwa anaye elewa kuhusu chuo hiki atujuze kwa faida ya wote.
hiki ni moja kati ya vyuo vingi ambavyo havitambuliki,ukimaliza diploma yako utashindwa kujiunga na vyuo vikuu vingine Tanzania na kwingineko usidhubutu kupeleka fedha zako maana utazipoteza pamoja na muda wako,nakushauri utujulisha hapa JF kozi unazotaka ili tukujuze vyuo mbadala,kwenye utaratibu wa NACTE kuna chuo kuwa registered na kuwa accredited,hatua ya mwanzo baada ya chuo kuanzishwa ni registration halafu accreditation,muhimu si kusajiliwa bali ni kuwa accredited maana hii ndio ruhusa kamili ya kufundisha kozi fulani,hivyo sikushauri kwenda huko kwani hakina accreditation wala registration bali ni utapeli mtupu.
 
Tuwe makini na vyuo vya mifukoni, regardless how desperate we are kutaka kusoma ila tujiridhishe kwamba una full detail za chuo husika,mtaishia kutapeliwa bure
 
Chuo kiitwacho MODERN COMMERCIAL INSTITUTE kipo mtaa wa nkruma clock tower kinajitangaza kwamba kimesajiliwa na NACTE kutoa mafunzo kwa ngazi ya Diploma kwenye tovuti yao nikiperuzi kwenye mtandao NACTE sioni kwenye list,kuna kijana wangu anasoma pale amelipa ada yao 1400000 Tshs kwa mwaka.naomba kwa anaye elewa kuhusu chuo hiki atujuze kwa faida ya wote.

NINGEKUSHAURI, katika website yao NACTE angalia namba za simu wapigie upate uhakika, labda bado hawaja-update website yao ku-inckude hicho chuo..

good luck
 
Back
Top Bottom