"MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI" Hii hoja imenibidi nirejee jina la CAG kwa Kiswahili. Kinadharia katika definition ya SERIKALI huwa tunawaondoa BUNGE na MAHAKAMA. Pamoja na majibu mazuri ya wajumbe kwa swali la mtengeneza uzi, naomba pia kufahamishwa nani anakagua hesabu za BUNGE na utaratibu wa...
Ndiyo. Wachina hawana tabia ya kunywa maji ya baridi kabisa. Hata water dispenser zao zina sehemua maji ya moto na sehemu ya maji yenye joto la kawaida. Binafsi pia huwa situmii maji ya baridi na sihitaji maji mengi kukata kiu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona rahisi sana kuprove hili. Uingiziwe kwenye mishipa yako damu tone moja tu la damu ambayo vipimo vimeonesha ina VVU na wewe usitumie ARV. Utatupa matokeo baadaye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna uhusiano wa kiu na maji ya baridi. Nadhani unajiskia ahueni haraka baada ya kunywa ya baridi kutokana na uwezo wake wa kupooza mwili. Kikubwa hapa ni mazoea tu. Mwili una tabia ya kuadopt kwa kile unachofanya. Umeuzoesha mwili maji ya baridi ndo maana ya vuguvugu huoni effect.
Sent using...
Nimeshangazwa na kitendo kilichooneshwa na viongozi na wasanii wa nchi yetu tangu Mh. Sugu ameanza kumuuguza mama yake mzazi hospitali ya Muhimbili.
Mama mzazi wa Mh. Sugu amelazwa hospitali kipindi ambacho Mh. Kigwangala pia amelazwa lakini tumeona viongozi wa kisiasa wakienda kumjulia hali...
Sina uzoefu na miaka ya nyuma sana lakini hivi karibuni tumekuwa tukishuhudia ajali "kubwa" za commercial jets.
Mwaka 2017 kumekuwa na ajali 10 na mwaka 2018 hadi July 31 tayari zimetokea ajali 8.
Ukuaji wa teknolojia umeshindwa kudhibiti hizi ajali? Tatizo nini?
Orodha ya ajali kwa mwaka...
Nimejaribu kufuata kila hatua ya maelekezo yaliwekwa humu na yaliyowekwa youtube kufanya installation kwenye PC yenye Win 64bit hakuna "addon" iliyokubali kuplay.
Kama kuna siri naomba ushauri.
Ikiwa inafanya installation ya addons kuna baadhi ya installion packages zinareport error. Lakini...
Wamiliki wa app ya Whatsapp wametangaza rasmi kuwa mwishoni mwa mwaka huu wataanzisha huduma maalumu itakayoweza kuwaunganisha watu zaidi ya wawili kwa wakati mmoja.
Kwa kuanzia huduma itaweza kuwaunganisha hadi watu wanne bila kujali wapo wapi. Zaidi ni kuwa haya mawasiliano yatakuwa pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.