twitwi_twi
Member
- Jul 20, 2018
- 21
- 54
Wamiliki wa app ya Whatsapp wametangaza rasmi kuwa mwishoni mwa mwaka huu wataanzisha huduma maalumu itakayoweza kuwaunganisha watu zaidi ya wawili kwa wakati mmoja.
Kwa kuanzia huduma itaweza kuwaunganisha hadi watu wanne bila kujali wapo wapi. Zaidi ni kuwa haya mawasiliano yatakuwa pia end-to-end encrypted kama zilivyo chat platform zingine ndani ya Whatsapp.
Hawa jamaa wana mpango wa kuua app za watu. Siku hizi skype imepunguza watumiaji sana sasa wakileta na hii ndiyo balaa.